Elewa kwamba, kufunga sio kutokula tu.
Kuna njia nyingi za kufunga kama unataka jambo laki lifanikiwe.
Mfano unaweza kufunga kutembea na mke wako hata miezi miwili, unaweza kufunga kwa kutokula muda uliojipangia sio lazima ujipangie masaa 12.
Unaweza kufunga kutoongea na watu wajinga, unaweza kufanya RETREAT kabisa ya kutokula chakula, kutoonana na kutoongea na mtu yoyote au kusikia Saudi yoyote huku ukiongea na MUNGU tu kwa siku tatu hadi jambo lako litimie.
Inaelekea wakatoloki wanakukera sana kwa walivyo elimika na kuwa watulivu.