Wakati Wenzetu Kenya Wakitumia Kikosi Kazi Chenye Mafunzo ya Kijeshi Kuhakikisha Watu Wanalipa Kodi,Tanzania tunawabembeleza Wafanyabiashara

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,840
Nawakumbusha Watawala hasa wa awamu ya 6 kwamba hakuna Mtu anataka kulipa Kodi Kwa hiari ndio maana Duniani kote zimewekwa sheria Kali za kuhakikisha watu Wanalipa Kodi Kwa hiari na lazima.

Kenya hapo ni mfano mzuri,task force Yao imeundwa na watu wenye utaalamu wa mambo ya kijeshi Ili ku enforce watu walipe Kodi na Wala hatujawahi ona wafanyabiashara wakikimbia Nchi.

Hapa Tanzania tunachekeana na kuchekea wafanyabiashara na Wananchi ambao hawafai risiti Wala wafanyabiashara hawatoi risiti kisa visingizio kibao visivyo na Tija.

Mwisho Nchi haiwezi kwenda Kwa njia ya kubembelezana kwenye mambo ya msingi.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1704095493847134216?t=i3QNrveZgGMmQ1pc-5q8Xw&s=19

My Take
Serikali rudisheni Task force ya TRA haraka sana ,watu hawalipi Kodi kabisa Kwa Sasa.

View: https://www.instagram.com/reel/CxiObt3qkFa/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Wewe umeshawai miliki biashara au ni uchawa unakusumbua tu apo
Kodi haikusanywi Kwa kubembelezana ndugu,vinavyolipiwa Kodi ni vingi sana sio biashara pekee.

Watu kama wewe ndio mnatukana Rais Kwa sababu hakuna umeme, unadhani umeme utakuja bila pesa?
 
Nawakumbusha Watawala hasa wa awamu ya 6 kwamba hakuna Mtu anataka kulipa Kodi Kwa hiari ndio maana Duniani kote zimewekwa sheria Kali za kuhakikisha watu Wanalipa Kodi Kwa hiari na lazima.

Kenya hapo ni mfano mzuri,task force Yao imeundwa na watu wenye utaalamu wa mambo ya kijeshi Ili ku enforce watu walipe Kodi na Wala hatujawahi ona wafanyabiashara wakikimbia Nchi.

Hapa Tanzania tunachekeana na kuchekea wafanyabiashara na Wananchi ambao hawafai risiti Wala wafanyabiashara hawatoi risiti kisa visingizio kibao visivyo na Tija.

Nchi haiwezi kwenda Kwa njia ya kubembelezana kwenye mambo ya msingi.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1704095493847134216?t=i3QNrveZgGMmQ1pc-5q8Xw&s=19

Mama yako mwenyewe alibembelezwa na Baba yako
 
Kodi haikusanywi Kwa kubembelezana ndugu,vinavyolipiwa Kodi ni vingi sana sio biashara pekee.

Watu kama wewe ndio mnatukana Rais Kwa sababu hakuna umeme, unadhani umeme utakuja bila pesa?
Wewe ni Fala kweli. Angalia usikute ata bando umegongea fala wewe
 
Nawakumbusha Watawala hasa wa awamu ya 6 kwamba hakuna Mtu anataka kulipa Kodi Kwa hiari ndio maana Duniani kote zimewekwa sheria Kali za kuhakikisha watu Wanalipa Kodi Kwa hiari na lazima.

Kenya hapo ni mfano mzuri,task force Yao imeundwa na watu wenye utaalamu wa mambo ya kijeshi Ili ku enforce watu walipe Kodi na Wala hatujawahi ona wafanyabiashara wakikimbia Nchi.

Hapa Tanzania tunachekeana na kuchekea wafanyabiashara na Wananchi ambao hawafai risiti Wala wafanyabiashara hawatoi risiti kisa visingizio kibao visivyo na Tija.

Mwisho Nchi haiwezi kwenda Kwa njia ya kubembelezana kwenye mambo ya msingi.

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1704095493847134216?t=i3QNrveZgGMmQ1pc-5q8Xw&s=19

Kamwambie mamako aanze kumlipa babako kodi kwa utamu anaopewa. Acha ujinga wewe.
 
Back
Top Bottom