Wakati wenzake wanajiandaa yeye kalala

Wakati wenzake wanajiandaa yeye kalala

77f5011c940fd72d09ed260aee5161a9.jpg


Wakuu naanza kuamin zile disco ni za kweli
bwana bashite hehehhehe
 
Hapo kuna mawili alisha jiandaa tayari au ni mtu aliyejikatia tamaa yani liwalo na liwe.
Kama la pili lina ukweli then there are two things involved, either aliotea paper na kufaulu kimagumashi or alikuwa discontinued.
Kama la pili hapo juu lina ukweli, there are two things involved, either alienda kuchoma mkaa or alirudi chuo kwa mgongo wa S. Sita..
Kama la pili lina ukweli there is one thing involved, jamaa ni hovyo kichwani.

Teh teh TWO THINGS ARE INVOLVED

Hakuna namna kama hayaingii unauchapa tu

Hamna namna kesho utaangalizia

Aggiiie!..... Aggiiiiiieeee!... Njo!

Msambinungwa

Dah mtunga mtihan bamdogo wake

Sio mzee sita alisimamia shoo(RIP)

Halafu huyo ndio mwisho wa siku anagonga B+ au A

Duh noma sana

Nyie mliokomaa mnaambulia ka C tena ka mwisho. Hapo sponsor alikua Mzee Six kulikuwa hakuna haja ya kusoma.


[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom