Wakati wasanii walitembea kwa wingi wakimpigia kampeni JPM,ni Mrisho Mpoto tu anayepewa matangazo ya serikali!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,998
20,647
Naona matangazo ya Taasisi za serikali yote akipewa Mrisho Mpoto,

Wasanii wengine wanalia njaa mtaani,muvi na muziki hauwalipi

Mpoto amehodhi matangazo yote na karibu shughuli zote za burudani katika hafla za serikali anazifanya yeye

Poleni wasanii mliokula vumbi wakati wa kampeni,na sasa baada ya uchaguzi mnaendelea kupigika
 
Walilipwa hela hao hawakufanya bure,kama walitumia hela vibaya imekula kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona matangazo ya Taasisi za serikali yote akipewa Mrisho Mpoto,

Wasanii wengine wanalia njaa mtaani,muvi na muziki hauwalipi

Mpoto amehodhi matangazo yote na karibu shughuli zote za burudani katika hafla za serikali anazifanya yeye

Poleni wasanii mliokula vumbi wakati wa kampeni,na sasa baada ya uchaguzi mnaendelea kupigika
Wivu ni kitu kibaya kweli.
 
Bablishi ikiisha utamu unaitupa,
 
Na dimond kafanyiwa tax assesment more than 400million
 
Back
Top Bottom