Ukizingatia yaliyotokea Zanzibar baada ya Uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, na ukiangalia performance ya CUF kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa TZ-Bara, wenye akili watagundua kuwa Umuhimu wa wapenzi wa CUF wa TZ-Bara, kujiengua toka CUF-ZNZ kwa sasa ni wa 100%. Muafaka wa CCM na CUF Zenji, umewafanya CUF-bara wasiweze kukubalika tena miongoni mwa raia wa TZ. Sio siri kwa sasa CUF bara inaonekana kama vile ni chama kinachoishi kwa hisani ya CCM, sintoshangaa katika baraza la mawaziri lijalo JK akamteua mmoja wa wabunge toka CUF kuingia serikalini. Hali hii ina maanisha nini kwa wengi wa vijana wapenzi na wakereketwa wa CUF bara????. Ombi langu kwa vijana wengi mlio ndani ya CUF TZ-Bara, kujiengua toka CUF Zenji hivi sasa na kuunda chama chenu kitakachokuwa na malengo na mitazamo ya kueleweka kwa ndugu zenu wengi wa bara. Nawakilisha
Sasa mbona wenzetu hamlalamiki, mtavumilia mpaka lini? walau waungeni mkono CHADEMACuf kitakwimu inazidi kukubalika bara na visiwani(tanganyika na zanzibar).
Ktk uchaguzi wa madiwani tanga mjini cuf imechukua madiwani 11 kutoka 5 waliokua nao. Wilayani mkinga cuf imepata madiwani 7 wakati hawakua na diwani hata 1 hapo kabla.
Na stail ni hiyo ktk mikoa mingi tu. Kwa upande wa wabunge cuf imepata 2 tanganyika wakati hawakua nae hata 1 kabla.
Kumbukeni wizi wa kura. Au chadema tu ndio wanaoibiwa?
ukizingatia yaliyotokea zanzibar baada ya uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko zanzibar, na ukiangalia performance ya cuf kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa tz-bara, wenye akili watagundua kuwa umuhimu wa wapenzi wa cuf wa tz-bara, kujiengua toka cuf-znz kwa sasa ni wa 100%. Muafaka wa ccm na cuf zenji, umewafanya cuf-bara wasiweze kukubalika tena miongoni mwa raia wa tz. Sio siri kwa sasa cuf bara inaonekana kama vile ni chama kinachoishi kwa hisani ya ccm, sintoshangaa katika baraza la mawaziri lijalo jk akamteua mmoja wa wabunge toka cuf kuingia serikalini. Hali hii ina maanisha nini kwa wengi wa vijana wapenzi na wakereketwa wa cuf bara????. Ombi langu kwa vijana wengi mlio ndani ya cuf tz-bara, kujiengua toka cuf zenji hivi sasa na kuunda chama chenu kitakachokuwa na malengo na mitazamo ya kueleweka kwa ndugu zenu wengi wa bara. Nawakilisha
ukizingatia yale yaliotokea baada ya uchaguzi wa viti maalum ambapo chademaa hawakumpa mgombea wetu mwenza wa darasa la saba hata kiti kimoja wakati umewadia wa kuwa na chademaa-zenj na tusiwape mgombea mwenza tena mpaka kieleweke kuhusu mgao wa ndani ya mjengo....ombi langu kwa chadema-zenj kujiengua na chadema-mtei kwani misimamo na malengo yao inahatarisha muunganoukizingatia yaliyotokea zanzibar baada ya uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko zanzibar, na ukiangalia performance ya cuf kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa tz-bara, wenye akili watagundua kuwa umuhimu wa wapenzi wa cuf wa tz-bara, kujiengua toka cuf-znz kwa sasa ni wa 100%. Muafaka wa ccm na cuf zenji, umewafanya cuf-bara wasiweze kukubalika tena miongoni mwa raia wa tz. Sio siri kwa sasa cuf bara inaonekana kama vile ni chama kinachoishi kwa hisani ya ccm, sintoshangaa katika baraza la mawaziri lijalo jk akamteua mmoja wa wabunge toka cuf kuingia serikalini. Hali hii ina maanisha nini kwa wengi wa vijana wapenzi na wakereketwa wa cuf bara????. Ombi langu kwa vijana wengi mlio ndani ya cuf tz-bara, kujiengua toka cuf zenji hivi sasa na kuunda chama chenu kitakachokuwa na malengo na mitazamo ya kueleweka kwa ndugu zenu wengi wa bara. Nawakilisha
ukizingatia yale yaliotokea baada ya uchaguzi wa viti maalum ambapo chademaa hawakumpa mgombea wetu mwenza wa darasa la saba hata kiti kimoja wakati umewadia wa kuwa na chademaa-zenj na tusiwape mgombea mwenza tena mpaka kieleweke kuhusu mgao wa ndani ya mjengo....ombi langu kwa chadema-zenj kujiengua na chadema-mtei kwani misimamo na malengo yao inahatarisha muungano
we umetumwa na mafisadi wa chadema ulete upuuziwako hapa jamvini?kwahilo sahau mh. Cuf iko imara nawako makini kuliko we unavyofikiria,subiri kifo chamende ktk kundi lako la walafi waposho wanaojiita chadema,subir kama mwaka1 hivi utajua mbivu nambichi ktk chadedemaaaaa,cuf ngangari bana,we wote niwivu unakusumbua nahao waliokutuma,kalagabaho.Ukizingatia yaliyotokea Zanzibar baada ya Uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, na ukiangalia performance ya CUF kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa TZ-Bara, wenye akili watagundua kuwa Umuhimu wa wapenzi wa CUF wa TZ-Bara, kujiengua toka CUF-ZNZ kwa sasa ni wa 100%. Muafaka wa CCM na CUF Zenji, umewafanya CUF-bara wasiweze kukubalika tena miongoni mwa raia wa TZ. Sio siri kwa sasa CUF bara inaonekana kama vile ni chama kinachoishi kwa hisani ya CCM, sintoshangaa katika baraza la mawaziri lijalo JK akamteua mmoja wa wabunge toka CUF kuingia serikalini. Hali hii ina maanisha nini kwa wengi wa vijana wapenzi na wakereketwa wa CUF bara????. Ombi langu kwa vijana wengi mlio ndani ya CUF TZ-Bara, kujiengua toka CUF Zenji hivi sasa na kuunda chama chenu kitakachokuwa na malengo na mitazamo ya kueleweka kwa ndugu zenu wengi wa bara. Nawakilisha
bila kusahau kua chadema nichama cha kikatoliki kwa 100% uchaguzi uliopita hakuna asiejua kua wafazili wakuu wakampeni za chadema ilikua nimakanisa,na slaa ktk kampeni alikua analala makanisani,na ushahidi tunao hata mbeya swanga na mpanda alilala ktk makanisa ya katoliki,mwenye kubisha abishe nimwage data live hapa,wachen kuwafanya watz wajinga,tumewastukia mlitaka kuibatiza nchi mkishinda ila mungu amewalani,na hamtotawala nchi hii mpk kiama kama mnataka kuitawala kikatoliki.wee, wacha fitina na uchonganishi!! Hakuna mpasuko wowote ndani ya cuf, hakuna cuf bara wala visiwani, wote ni wamoja na nidhamu iliyojengwa ktk cuf ni ya hali ya juu!! Sasa wewe na wenzako chadema mmeshindwa kuitoa ccm madarakani mnataka kuleta chokochoko ktk cuf!!!
kama unataka mafanikio ya cuf bara ili kiwe na wanachama wengi na kuleta mabadiliko ya kweli basi jiunge na cuf na muache fitina zenu za kukipakazia cuf kuwa ni chama cha kidini!!!!