jf dotors naombani msaada
dada yangu alipata ijauzito lakini mimba ilipokua na wiki mbili ghafle alianza kupata period then alipoenda hospitali akaambiwa mimba imeharibika akasafishwa. baada ya muda alipata tena ujauzito pia hali kama ile ile ya mwanzo ikatokea mimba ikaharibika.baada ya kusafishwa alienda hospitali kufanya chekup na aliambiwa kwamba kizazi kipo sawa na hana tatizo lolote
alienda kwenye hospitali nyingine akafanyiwa vipimo dokta akamwambia kwamba ana kifafa ha mimba ambacho kinasukuma mimba na kusababisha itoke
sasa she is in onfusion haelewi afanye nini, kama kuna wataalamu humu naomba mnijuze haya mabo,au kama kuna mtu anamfahamu dokta yeyote ambaye ni bingwa wa mambo hayo please anijuze nitampataje, na je hili tatizo litatibikaje? nahitaji msaada wenu
Poleni kwa matatizo.
Katika hayo uliyoelezea hapo sioni kabisa dalili yeyote ya kifafa cha mimba. Hicho si kifafa cha mimba. Pia kifafa cha mimba hakisukumi mimba na kusabibisha itoke. Huyo daktari (kama kweli aliambiwa na daktari) hajui kifafa cha mimba ni nini!
Kama livyokuambia Futota hapo juu, Kifafa cha mimba mara nyimngi huanza baada ya miezi mi3 ya kwanza ya mimba (First Trimester), na huanza kwa presha ya damu kuwa juu (Pregnancy Induced Hypertension) ambayo inaweza kumbatana na miguu kuvimba kupita kiasi (mara nyingine mpaka uso uvimba asubuhi) na kutoa protini kwenye mkojo. Kwa kawaida kina mama wanaohudhuria kliniki ya wajawazito (ANC) huwa wanachekiwa hivi vitu vyote vitatu hivyo ni rahisi kugundua kuwa mama yuko kwenye risk ya kifafa cha mimba (Eclampsia).
Tafadhali mwambie dada akafanyiwe uchunguzi na daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologist) kabla ya kupata mimba, na aanze ANC mapema pindi apatapo ujauzito.

Maelezo mazuri, naomba kuongezea machache, presha wakati wa ujauzito (pregnancy induced hypertension) hutokea baada ya wiki 20 na endapo mama atakuwa na presha kabla ya hapo hiyo huitwa chronic hypertension,na kuvimba miguu kwa sasa haitumiki kama kigezo cha kifafa cha mimba.
Kama wachangiaji walivyosema ni vizuri kufanya uchunguzi kwa mabingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi kabla na baada ya kupata ujauzito.
Wewe unatupeleka Samunge...Wengi wameangamia Loliondo kwa akili hizi!Damu ya Yesu ni dawa tosha! Kimbilia kwake kwan yy ndiye daktar bingwa wa mabingwa wote! Atafute wa2mish wa Mungu wamwekee mkono nae atapona au hata yy akiamin afunge na kuomba kwa ajil ya hlo.