Wakati wa ni lazima ,eti jamani ?

Wakati wa ni lazima ,eti jamani ?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Wengine tunakaribia ujana ,sasa huku mitaani kuna mastori kibao tunapokutana kwenye vijiwe vya kahawa na kashata ,kuna jambo limezuka nikaona nikimbilie JF kupata wachambuzi ni wakati wa tendo ,kuna neno walilizunguma kula denda .sikujua maana yake ila mmoja akaruka na kusema kuramba ndio ligi kuu ,hapo jamaa wakachangamka na kudai mambo mengi huweza kutokea moja ni kupoteza fahamu ,jingine kulia ,hivi haya ni kweli ? Yamewahi kukukuta ?
 
kulamba sumu ndio utakufa lakini vingine vyote haviui
 
Hebu tuliza makalio chini halafu uandike vitu vinavyoeleweka...

Sorry sina makalio nilikatika kiuno baada ya kukanyagwa na treni pale mlima wa sekenke wakati tunarudi kutafuta mafagio ya shule ,ila na wewe usijifanye kipofu ,mbona kila kitu kipo wazi weka sawa koodinesheni ya ubongo na mawazo !
 
kulamba sumu ndio utakufa lakini vingine vyote haviui

Hii nayo mpya kwani ,kwani binadamu tunasumu ,ndio maana nimeondoka bungeni kuja huku ,kuna elimu tosha .tuelimishe nasi tupate kuyajua tusije tukafa kwenye kidonda !
 
Vipi yamekugusa ? Zingatia tu ,usije ukaona siri imetoka labda topiki haina tofauti na yanayokukuta ukaona jamaa kaja kutoa siri hapa, inawezekana ni mgongano uliofanana koinsiden ,mada haimuhusishi yeyote yule ni suali tu nimesikia ndio nikafika kuutaka kupata elimu zaidi !
 
Relax,hujanigusa hata kidogo!
Hapo nilikuwa najiuliza kama ni mimi sielewi au ulichoandika hakieleweki?
 
Kajipange upya uje tena na mada yenye kueleweka Dogo sawa eeehh
 
Back
Top Bottom