Wakati wa MABADILIKO ni sasa

Wakati wa MABADILIKO ni sasa

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
1. IMEBAKISIKU1 "Uamue upate
serikali inayowajibika kwa Wananchi
sio wananchi kuwajibika kwa serikali
yao" Edward Ngoyai Lowassa
#Mabadiliko2015

2. IMEBAKISIKU 1 "Uamue tatizo la
foleni mipakani na mijini hususani Dar
es salaam kupatiwa ufumbuzi" Edward
Ngoyai Lowassa #Mabadiliko2015


3. IMEBAKISIKU 1 "Uamue upate
serikali inayopambana na kuzuia
rushwa kwa nguvu zote" Edward
Ngoyai Lowassa #Mabadiliko2015

4. IMEBAKISIKU 1 "Uamue maslahi ya
walimu,polisi na wanajeshi
kuboreshwa zaidi" Edward Ngoyai
Lowassa #Mabadiliko2015

5. IMEBAKISIKU 1 "Uamue usafiri wa
meli uboreshwe na kuwa wa uhakika
tofauti na ilivyo sasa" Edward Ngoyai
Lowassa #Mabadiliko2015

6. IMEBAKISIKU 1 "Uamue viwanda
vilivyokufa vifufuliwe na kujenga
viwanda vingine" Edward Ngoyai
Lowassa #Mabadiliko2015
 

Attachments

  • 1445596591195.jpg
    1445596591195.jpg
    7.9 KB · Views: 185
  • 1445596611893.jpg
    1445596611893.jpg
    10.9 KB · Views: 107
  • 1445596628647.jpg
    1445596628647.jpg
    12.8 KB · Views: 104
usifanye makosa jumapili
 

Attachments

  • 1445598155965.jpg
    1445598155965.jpg
    16.3 KB · Views: 101
watanzania wanataka mabadiliko

watanzania hawataki porojo

fanya maamuzi ya busara✌✌✌✌✌✌✌
 
Back
Top Bottom