"Wakati wa Baba na Wakati wa Mama"

"Wakati wa Baba na Wakati wa Mama"

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,532
Reaction score
3,189
Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa BABA.
Kuna watu wanalalamika kufanyiwa "uhuni" wakati huu ambao pengine wao ndio walikuwa vinara wa kufanya "uhuni" kwa wengine wakati uliopita.

Swali ni je "Wahuni" wa "Wakati wa Baba" ni "Wahuni" walewale wa "Wakati wa Mama" ?
Je? Wahuni ni wale waliokuwa wanatembelea VI-EITE (V80) kama asemavyo SLOSLO au bado wanatembelea VI-EITE (V80),
Yote kwa yote wahuni sio watu wazuri masela, tulinde nyumba zetu wahuni wasije wakapita na TV zetu.

d24b76413df527325092a25d5d9b722d.jpeg
 
KY ina kazi gani kwenye chumba cha mjuba asiye na mke wala mtoto?
Wahuni siyo watu wazuri!
 
Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa BABA.
Kuna watu wanalalamika kufanyiwa "uhuni" wakati huu ambao pengine wao ndio walikuwa vinara wa kufanya "uhuni" kwa wengine wakati uliopita.

Swali ni je "Wahuni" wa "Wakati wa Baba" ni "Wahuni" walewale wa "Wakati wa Mama" ?
Je? Wahuni ni wale waliokuwa wanatembelea VI-EITE (V80) kama asemavyo SLOSLO au bado wanatembelea VI-EITE (V80),
Yote kwa yote wahuni sio watu wazuri masela, tulinde nyumba zetu wahuni wasije wakapita na TV zetu.

View attachment 2042975
Atakoma
 
tupambane na hoja zake..
wahuni ni akina nani?
wahuni wapo au hawapo ( na yeye akiwemo)..
hawa wahuni wana athari gani kwenye maendeleo ya nchi?..
nafasi yetu sote kupambana na wahuni iko wapi.?.
tunahitaji kuwacha wahuni kwenye mifumo?
 
Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa BABA.
Kuna watu wanalalamika kufanyiwa "uhuni" wakati huu ambao pengine wao ndio walikuwa vinara wa kufanya "uhuni" kwa wengine wakati uliopita.

Swali ni je "Wahuni" wa "Wakati wa Baba" ni "Wahuni" walewale wa "Wakati wa Mama" ?
Je? Wahuni ni wale waliokuwa wanatembelea VI-EITE (V80) kama asemavyo SLOSLO au bado wanatembelea VI-EITE (V80),
Yote kwa yote wahuni sio watu wazuri masela, tulinde nyumba zetu wahuni wasije wakapita na TV zetu.

View attachment 2042975
Huyu Polepole ni mbinafsi sana hana unyenyekevu ndani ya nafsi yake. Maisha yanapangwa na Mungu binadamu kajawa na kiburi lakini hawezi kuumba hata unywele mmoja tu wa mwilini mwake.

Asitake kumpelekesha bosi wake, akubaliane tu na hali halisi ambayo ni mpya kwake.
 
Labda ndiyo mafuta yake ya kujipaka mwilini.
Dodoma kawaida hali ya hewa na maji yake hayakolei haya mafuta ya kawaida.
Pia sloslo ni limbukeni, mshamba na zuzu.
KY iliyoonekana kwenye chumba cha slowslow ya kazi gani?
 
Back
Top Bottom