Wakati umefika kuigawa CRDB Bank

Wakati umefika kuigawa CRDB Bank

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,635
Reaction score
6,529
Hii bank kwa kweli ina huduma mbovu sana. Juzi juzi nimejaribu kufungua account pale, kwanza wana fomu nyingi na complications zisizoisha. Siku 3 nazungushwa tu, nikaenda NMB ndani ya nusu saa nimemaliza.

Na ukishafungua account na hawa CRDB bado kuna matatizo mengi sana unakumbana nayo na account yako na huwa wanakuwa hawana msaada sana. Nasema hayo kwa sababu tayari nina account nyingine pale na ni kama nimeikacha. Hata ukiwa pale tu utaona idadi kubwa ya wateja wao wanaokuja na kuondoka bila matatizo yao kutatuliwa.

Naona hii benki inaenda au inastahili kugawanywa kama NBC ya wakati ule iliyozaa NMB. Tunaambiwa tupende vya kwetu ila inaonyesha hadi aje mzungu ndiyo huwa tunakaa sawa na kutoa huduma zinazoeleweka.

Najua hili linaweza lisitokee kwenye utawala wa Magufuli kwa sababu sera na mitazamo yake ni tofauti sana na Mkapa ila hii benki inabidi imulikwe.

Na samahani kama kuna nitakayemkwaza ila kuna element ka ukabila pia kwenye ile benki. Naona kama wafanyakazi wengi katika matawi niliyowahi kwenda ni watu wa kutoka sehemu moja!! Sijui kama hilo litakauwa linachangia matatizo waliyonayo ila niliondoka nikijiuliza maswali mengi ambayo sijapata majibu. Kwanza inawezekana wanachukua fomu za watu ambao mwisho wa siku wanaamua kutoendelea na application au hata kufanya makusudi zangu wanaweza wakawa wanakatisha tamaa watu wenye account halafu wanatumia hizo account au information za watu kuchukulia mikopo bila wateja wenyewe kujua? Je hili linawezekana? Nimefikia kujiuliza maswali kama hayo kwa sababu ufanisi wao ni wa mashaka sana.
 
Iyo Bank sio kabisa yani kuna inshu ndogo nafatilia imefika mwezi sasa na ni kitu ya siku mbili tu me nilijua ni kwa branch iyo ya Njia panda Segerea tu
 
Kwangu mm kwa benki za locals Tanzania, CRDB is the best ikifuatiwa na NBC, wewe inaonekana kuna document hukuwa nazo z utambulisho wakati unaenda kufungua AC
 
Huyu mzungu wa NMB kaiboresha sana benki hiyo, kutoka kwenye benki iliyokuwa na huduma duni , foleni kutoka hapa na masaki, majengo mabovu lakini sas hivi hakuna foleni, majengo yameboreshwa ni ya kisasa kabisa na wanafanya open office systerm ambapo kuanzia meneja mpaka watendaji hawajajifungia mavyumbani wapo wazi wanaonekana jinsi wanavyo fanya kazi. Hakuna kutegea. Wamejiunga na VISA hivyo fedha unachukulia popote, wana ATM za kutosha na wanafungua matawi kila mahali, huku magari yao ya mobile bank yaizunguka vijijini. Bank zingine zikae chonjo
 
Kadi yangu imeisha muda, nikaenda kurenew. Nikajaza form na attachment zote, wakaniambia rudi baada ya mwezi mmoja. Siku niliyoenda wakaniambia bado eti akaunti haikuwa na hela Qatari kila mwezi mshahara unaingia. Miezi minne sasa na kadi naitumia kama kawa
 
CRDB bado ni benki bora kabisa hapa Tanzania. Nina miaka mingi nao hayo mnayoyasema sijawahi pata,kadi kabla ya kuisha ukiingiza kwenye mashine inakuambia itaisha lini.
Utakuwa hujawahi kukutana na huduma bora wewe.
 
Back
Top Bottom