Wakati tunamnanga Rais Magufuli kuwa haendi kwenye mikutano, wenzetu wanamsifia kutoenda

Kuna rais wa nchi moja ya Africa ametembea na mawaziri wake wawili wa kike, waziri wa afya na waziri wa utumishi bora. Inasemekana waziri wa utumishi bora sasa hivi ana ujauzito wa kigogo huyo.
Ukiona ivi ujue uyo rais hana MKE ,,nakama anaye ndo hawa wanawake wasojua NINI mume anaitaji.


In all ,,Kua Rais hakumfanyi mwanamme aondokane na Uanamme wake ,,nisawa namwanamme ameoa lkn anachepuka ,,sasa kisa amekua Rais ndo asichepuke nandan hapati huduma nabado damu inachepuka ???


Kuchepuka alichepuka Bil Clinton wa USA tena huyu ilikua kufuru

Zuma wa S.Africa amechepuka.

Putin wa Urusi kachepuka ,,tena yeye ndo alizidiwa na penzi mpaka akafukuza MKE wake wandoa.

Kuchepuka nikuchepuka...MIMBA NIBARAKA ,,NAMTOTO NIBARAKA.
 
Madawa hospitalini kwa sasa siyo tatizo kabisa. Hata zahanati za vijijini zina madawa ya kutosha kabisa. Nimeshatembelea vijiji zaid ya 5,000 hadi sasa sijaona hilo tatizo. Acha kukariri bila kuwa na data sahihi. Msoto unaokutafuna ni uvivu wako tu. Fanya kazi kwa bidii huo msoto utausikia hewani tu.
 
In recent times, President Magufuli of Tanzania has wisely decided not to attend the pointless backslapping sessions because he sees them for what they are: i.e. a total waste of important public resources in money and time.


Now I know that we cannot expect Peter Mutharika to think as astutely as Magufuli given Malawi’s penchant for abusing resources. This is precisely why we do not need the UN to be encouraging him into thinking that he just has to attend the Assembly as he might miss some accolades on the “end Child Marriages” campaign.


“We cannot harvest the best potential unless we stop early marriage,” said President Mutharika at the event. “Every child must be given empowerment and wings of hope to fly very high. We must invest more in our young people.”


What a load!


Well, Mr President, we cannot harvest Malawi’s best potential unless we solve the energy problems. I should have you know, sir, that Every Malawian, young and old, must be given the empowerment and the wings to fly very high indeed, and that must start with the basic necessities.


Source: Z Allan Ntata’s Uncommon Sense: GIVE ME POWER! NOW! - The Maravi Post

Nafikiri argument kuhusu Magufuli kusafiri ni kuwa:

1. Kuna very important occasions ambazo nchi inatakiwa kuwa - represented na Raisi, we believe such occasions are not 100% wastage of resources.
 
Wanamnanga ni ma chadema tu, tuliowengi tunamsapoti rais wetu.
Hao wanafki waliimba kwa miaka kibao kuwa jk anasafiri sana, kaja huyu wa leo hasafiri kabisa bado yanalalamika tena rais hasafiri sana - hv bavicha ni nani aliyewaloga?!
bavicha ni bendera fata upepo sasahivi wanamshabikia nyalandu kuliko mwenyekiti(flytokia)
 
Kutoenda kwake kuna tija gani kwetu wananchi? stori kitaa ni kwamba hawezi kimombo ndo mana amechill tu
TUNAJUA yeye haendi (SIO KWAMBA ANABANA..LUGHASHIDA)lakin mwakilishi na kundi lake wameenda.. AMEOKOA NINI?
 
katika kikao hicho cha UN nchi nyingi tu zilituma mawaziri wao wa nchi za nje kuwakilisha nchi zao kama ambavyo President JPM alivyo mtuma Mh. Mahiga kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano huo.
 
Ule ung'eng'e wa Trump na wenzake Sizonje haambulii kitu. Ataishia kuwaambia "nyie ni wapumbavu kabisa..."
 
Ukiona ivi ujue uyo rais hana MKE ,,nakama anaye ndo hawa wanawake wasojua NINI mume anaitaji.


In all ,,Kua Rais hakumfanyi mwanamme aondokane na Uanamme wake ,,nisawa namwanamme ameoa lkn anachepuka ,,sasa kisa amekua Rais ndo asichepuke nandan hapati huduma nabado damu inachepuka ???


Kuchepuka alichepuka Bil Clinton wa USA tena huyu ilikua kufuru

Zuma wa S.Africa amechepuka.

Putin wa Urusi kachepuka ,,tena yeye ndo alizidiwa na penzi mpaka akafukuza MKE wake wandoa.

Kuchepuka nikuchepuka...MIMBA NIBARAKA ,,NAMTOTO NIBARAKA.
gafla tu wamesahau kuwa hata mbowe alimmimba vitu maalum wake!
 
Kutoenda kwake kuna tija gani kwetu wananchi? stori kitaa ni kwamba hawezi kimombo ndo mana amechill tu
Mkuu kama rais angeenda na msafara wake matumuzi ya kawaida kabisa yasingepuangua TShs 500,000,000
Kuhusu lugha hiyo ni hoja dhaifu,kwani kiswahili,kinatambuliwa,hivyo angeweza kuhutubia kwa kiswahili,na ujumbe ungefika.
Mkuu kwa tarifa yako,sio kila Kiongozi no lazima aongee kiingereza,wapo wanaoongea kiarabu,kichina,kifaransa,kireno,kispaniola,kitaliani,kiingereza cha kimarikani,kiswahili,na kadhali na kadhalika.
 
Back
Top Bottom