Wakati tunamnanga Rais Magufuli kuwa haendi kwenye mikutano, wenzetu wanamsifia kutoenda

Mjuu

Mkuu sasa kama wewe unasota unadhani ni kila mtu? pambana na hali yako magufuri hawezi kukuletea ugari mezani
Ni kweli kabisa mkuu, na yeye apambane na hali yake na sio kutulazimisha tumsifie hata kwa kisichokuwepo
 
Kuna rais wa nchi moja ya Africa ametembea na mawaziri wake wawili wa kike, waziri wa afya na waziri wa utumishi bora. Inasemekana waziri wa utumishi bora sasa hivi ana ujauzito wa kigogo huyo.
 
Wanamnanga ni ma chadema tu, tuliowengi tunamsapoti rais wetu.
Hao wanafki waliimba kwa miaka kibao kuwa jk anasafiri sana, kaja huyu wa leo hasafiri kabisa bado yanalalamika tena rais hasafiri sana - hv bavicha ni nani aliyewaloga?!
 
Kuna rais wa nchi moja ya Africa ametembea na mawaziri wake wawili wa kike, waziri wa afya na waziri wa utumishi bora. Inasemekana waziri wa utumishi bora sasa hivi ana ujauzito wa kigogo huyo.
bana hebu iache wazi niioneo_O:p
 
Kuna rais wa nchi moja ya Africa ametembea na mawaziri wake wawili wa kike, waziri wa afya na waziri wa utumishi bora. Inasemekana waziri wa utumishi bora sasa hivi ana ujauzito wa kigogo huyo.

Ulimshikia mguu nini?
 
Kutoenda kwake kuna tija gani kwetu wananchi? stori kitaa ni kwamba hawezi kimombo ndo mana amechill tu
Pole sana kaka...kama hiyo ndo hoja yako hapo kitaani kwako, bado haina mashiko, kule siyo lugha...kila mtu anauwezo wa kutumia lugha yake na wakutafsiri wapo, mchina anatumia kichina, mjapan kivyake hivyo hata kiswahili Magu akipenda anahutubia tu...bdo wambie watu wa kitaani kwako wamtaftie sbbu nyingine.
 
Back
Top Bottom