Wakati Tukisubiri $ Milioni 300 zetu Kutoka Barrick, Yauza Hisa za $ Milioni 300 Kwa Mchina Huku Ikinunua Mgodi wa Randgold Kwa $ Bilioni 18.3!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,596
Wanabodi,

Information is power.

Wakati sisi tukisubiri kile kishika uchumba cha dola milioni 300 kutoka Barrick, ambazo tunapaswa kulipwa na mwanae, Acacia, leo Barrick imeuza hisa zake za Dola milioni 300 kwa kampuni ya kichina ya Shandong, na wakati huo huo Kampuni kubwa ya dhahabu ya Africa Kusini, Randgold, imeinunua jumla ya shares 66.6% za kampuni ya Barrick kwa dola bilioni 18.3!, Hivyo Randgold kuwa the majority shareholder wa Barrick.

Kwa sasa taarifa hii inaweza kuchukuliwa kirais rais tuu kuwa Barrick wanaendendelea na normal bussiness practices zake za kuuza hisa na kununua migodi, lakini kwa kinachoendelea kati yetu na kampuni ya Barrick, wale wenye uwezo wa kuona mbali, taarifa kama hizi watazichukulia very serious.

Kuuza hisa majority maana yake Barrick wanaanza kuachia baadhi ya mali zake, na kununua mgodi mwingine kungine, maana yake ni baada ya kukatishwa tamaa upande fulani, wameona bora attention yao na focus yao kuipeleka kwingine.

Baada ya kufikia makubaliano kati ya Barrick na serikali yetu, Mwenyekiti wa Barrick alimuahidi rais wetu Magufuli kutupatia dola milioni 300 kama ishara ya kuonyesha nia njema ya kutulipa, na kuwa fedha hizo zingelipwa na mwanae Acacia, lakini kesho yake Acacia kwanza akasema halipi kwa sababu yeye hana hizo fedha, kisha akasema atalipa, baada ya serikali yetu kuyaachia makinikia yake na ikishawalipa madeni ya vat refund zao.

Kwa vile ahadi ya hela ilitolewa na Baba, na mtoto hana hizo pesa, maadam baba leo kauza hisa na kupata dola milioni 300, na kuiza Barrick kwa Randgold, then majaaliwa ya Tanzania kulipwa ni huyu mbia mpya. Ingekuwa busara Barrick atulipe tuu hizo hela zetu alizoahidi ndipo mazungumzo yaendelee, ili huyu mbia mpya asije akaturuka kuwa kanunua assets tuu zs Barrick na sio liabilities.

Lakini pia wakati tukizisubiri kwa hamu hizi pesa zetu tulizo ahidiwa na huyu baba kuwa mtoto atalipa, na mtoto hana uwezo huo, huku nyuma, baba kumbe ana kipochi kinene, ameuza majority shares kwa
Kampuni ya Randgold inayomiliki mgodii nchini Mali kwa dola bilioni 18.3!. Hii sii pesa ya mchezo!. Kama ni kweli Barrick ana nia ya dhati kutulipa kile kishika uchumba cha ilela milioni 300 ya nia njema ya kiukweli, kwa nini huyu baba asimlipie tuu huyu mwanae?!.

Nahisi kama hapa kuna picha inachezwa!, na amini nakuambia, usikute hisa zote za Barrick ndani ya Acacia ziko sokoni kisiri siri, sisi tumejikalia tuu tunasubiri, kuja kushtuka, Acacia ni mali ya Mchina!.

Kwa wanaojua the operative of the corporate world, ukiisha uza zaidi ya 51% ya kampuni kwa mtu mwingine, bodi na management in a change, hata yale mazungumzo yataweza kuathirika kwa sababu sasa unazungumza na watu wengine.
Paskali.

Habari ya kwanza inapatikana hapa
Barrick Gold Corporation - Barrick Announces Agreement with Shandong Gold for Cross Shareholding of up to $300 Million
Barrick Announces Agreement with Shandong Gold for Cross Shareholding of up to $300 Million

Press Release SEPTEMBER 24, 2018
TORONTO — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced that it has entered into a mutual investment agreement with Shandong Gold Group Co., Ltd. (“Shandong Gold”), further strengthening Barrick’s partnership with one of China’s leading mining companies.
Under the Agreement, Shandong Gold will purchase up to $300 million of Barrick shares, and Barrick will invest an equivalent amount in shares of Shandong Gold Mining Co., Ltd., a publicly listed company controlled by Shandong Gold. Shares will be purchased in the open market.
“This mutual investment is another reflection of the deepening partnership between our two companies,” said Barrick Executive Chairman John L. Thornton. “Barrick and Shandong both believe that by working in partnership, we can leverage our collective strengths to unlock long-term value for our respective shareholders, just as we are at Veladero today, with the potential to expand to Lama and other El Indio Belt projects in the future.”
Yumin Chen, Chairman of Shandong Gold Group, commented: “Building on the enhanced strategic cooperation agreement entered on July 9, 2018, Shandong Gold Group is pleased to announce further steps to deepen the strategic partnership with Barrick Gold Corporation, through this mutual investment and cross shareholding initiative, to capitalize on respective strengths and realize long-term synergies and to unlock long-term value for the respective shareholders. Building on the excellent partnership at Veladero today, we believe additional long-term strategic value can be created by working closely together on other projects including Lama and El Indio Belt projects in the future.”
Barrick and Shandong Gold are 50-50 joint venture partners at the Veladero mine in Argentina, the first step in the partnership between the two companies. As a second step, Shandong Gold is currently carrying out an independent evaluation of Barrick’s Lama project, including an analysis of potential synergies between Lama and the nearby Veladero operation. Barrick and Shandong Gold have also created internal working groups that are sharing technical expertise and best practices focused on best-in-class mining practices and innovation.

Habari ya Pili inapatikana hapa
Barrick Gold Corporation - Barrick and Randgold Combine to Create Industry-Leading Gold Investment Vehicle
Barrick and Randgold Combine to Create Industry-Leading Gold Investment Vehicle
Press Release SEPTEMBER 24, 2018
TORONTO — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced that it has reached agreement on the terms of a recommended share-for-share merger of Barrick and Randgold Resources Limited (the “Merger”).
The Merger will create an industry-leading gold company with the greatest concentration of Tier One Gold Assets1 in the industry, led by a proven management team of owners. Superior operating metrics, including the highest Adjusted EBITDA margin2 and the lowest total cash cost3 position among Senior Gold Peers4, will support sustainable investment in growth and shareholder returns.
The Merger is subject to approval by both sets of shareholders, regulatory approvals and other customary closing conditions.
It is intended that the Merger will be implemented by means of a court-sanctioned scheme of arrangement of Randgold Resources Limited (“Randgold”) and the Randgold Shareholders under Article 125 of the Companies (Jersey) Law 1991, with the entire issued and to be issued share capital of Randgold being acquired by Barrick. Under the terms of the Merger, each Randgold Shareholder will receive 6.1280 New Barrick Shares for each Randgold Share. Following completion of the Merger, Barrick Shareholders will own approximately 66.6 per cent and Randgold Shareholders will own approximately 33.4 per cent of the New Barrick Group on a fully-diluted basis.
Commenting on today’s announcement, John L. Thornton, Executive Chairman of Barrick, said:
“The combination of Barrick and Randgold will create a new champion for value creation in the gold mining industry, bringing together the world’s largest collection of Tier One Gold Assets, with a proven management team that has consistently delivered among the best shareholder returns in the gold sector over the past decade. Our overriding measure of success will be the returns we generate and not the number of ounces we produce, balancing boldness and prudence to deliver consistent and growing returns to our fellow owners, a truly simple but radical and achievable concept. There are no premiums in the merger because we strongly believe in the opportunity to add significant value for our shareholders from the disciplined management of our combined asset base and a focus on truly profitable growth.”
Commenting on today’s announcement, Mark Bristow, Chief Executive Officer of Randgold, said:
“Our industry has been criticised for its short-term focus, undisciplined growth and poor returns on invested capital. The merged company will be very different. Its goal will be to deliver sector leading returns, and in order to achieve this, we will need to take a very critical view of our asset base and how we run our business, and be prepared to make tough decisions. By employing a strategy similar to the one that proved very successful at Randgold, but on a larger scale, the New Barrick Group will leverage some of the world’s best mines and talent to create real value for all stakeholders.”
The Merger is expected to close by Q1 2019. Following completion of the Merger:
  • John L. Thornton, Executive Chairman of Barrick, will become Executive Chairman of the New Barrick Group.
  • Mark Bristow, Chief Executive Officer of Randgold, will become President and Chief Executive Officer of the New Barrick Group.
  • Graham Shuttleworth, Finance Director and Chief Financial Officer of Randgold, will become Senior Executive Vice President and Chief Financial Officer of the New Barrick Group.
  • Kevin Thomson, Senior Executive Vice President, Strategic Matters of Barrick, will become Senior Executive Vice President, Strategic Matters of the New Barrick Group.
  • Two-thirds of the directors of the Board of the New Barrick Group will be nominated by Barrick, and one-third will be nominated by Randgold.
Shares in the New Barrick Group issued to Randgold Shareholders will be admitted to trade on the New York Stock Exchange and the Toronto Stock Exchange, subject to the approval or acceptance of each exchange.
A Rule 2.7 announcement has been published in accordance with the City Code on Takeovers And Mergers (United Kingdom) and can be accessed at the following link:
https://www.barrick.com/files/br/Recommended-All-Share-Merger-of-Barrick-and-Randgold.pdf or on Barrick’s SEDAR profile (www.sedar.com).
 
Wanabodi,

Information is power.

Wakati sisi tukisubiri kile kishika uchumba cha dola milioni 300 kutoka Barrick, ambazo tunapaswa kulipwa na mwanae, Acacia, Leo Barrick imeuza hisa zake za Dola milioni 300 kwa kampuni ya kichina ya Shadong, na wakati huo huo Barrick Gold imeinunua jumla kampuni ya Randgold kwa dola bilioni 18.3!.

Kwa sasa taarifa hii inaweza kuchukuliwa kirais rais tuu kuwa Barrick wanaendendelea na normal bussiness practices zake za kuuza hisa na kununua migodi, lakini kwa kinachoendelea kati yetu na kampuni ya Barrick, wale wenye uwezo wa kuona mbali, taarifa kama hizi watazichukulia very serious.

Kuuza hisa maana yake Barrick wanaanza kuachia baadhi ya mali zake, na kununua mgondi mwingine kungine, maana yake ni baada ya kukatishwa tamaa upande fulani, wameona bora attention yao na focus yao kuipeleka kwingine.

Baada ya kufikia makubaliano kati ya Barrick na serikali yetu, Mwenyekiti wa Barrick alimuahidi rais Magufuli kutupatia dola milioni 300 kama ishara ya nia njema, na kuwa fedha hizo zingelipwa na mwanae Acacia, lakini kesho yake Acacia kwanza akasema halipi kwa sababu yeye hana hizo fedha, kisha akasema atalipa, serikali yetu ikishawalipa vat refund zao.

Kwa vile ahadi ya hela ilitolewa na Baba, na mtoto hana hizo hela, maadam baba leo kauza hisa na kupata dola milioni 300, then utupe tuu hizo hela zetu alizoahidi ndipo mazungumzo yaendelee.
Lakini pia wakati tukizisubiri kwa hamu hizi pesa zetu tulizo ahidiwa na huyu baba kuwa mtoto atalipa, na mtoto hana hizo pesa, huku nyuma, baba kumbe ana kipochi kinene, amenunua mgodi mwingine nchini Mali kwa dola bilioni 18.3!. Hii sii pesa ya mchezo!. Kama ni kweli ile dola milioni 300 ni na ya nia njema na mtoto hana, kama ni nia njema ya kweli, kwa nini huyu baba asimlipie mwanae!.

Hapa kuna picha inachezwa!, na amini nakuambia, usikute hisa zote za Barrick ndani ya Acacia ziko sokoni kisiri siri, sisi tumejikalia tuu tunasubiri, kuja kushtuka, Acacia ni mali ya Mchina!.

Paskali.

Habari ya kwanza inapatikana hapa
Barrick Gold Corporation - Barrick Announces Agreement with Shandong Gold for Cross Shareholding of up to $300 Million
Barrick Announces Agreement with Shandong Gold for Cross Shareholding of up to $300 Million

Press Release SEPTEMBER 24, 2018
TORONTO — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced that it has entered into a mutual investment agreement with Shandong Gold Group Co., Ltd. (“Shandong Gold”), further strengthening Barrick’s partnership with one of China’s leading mining companies.
Under the Agreement, Shandong Gold will purchase up to $300 million of Barrick shares, and Barrick will invest an equivalent amount in shares of Shandong Gold Mining Co., Ltd., a publicly listed company controlled by Shandong Gold. Shares will be purchased in the open market.
“This mutual investment is another reflection of the deepening partnership between our two companies,” said Barrick Executive Chairman John L. Thornton. “Barrick and Shandong both believe that by working in partnership, we can leverage our collective strengths to unlock long-term value for our respective shareholders, just as we are at Veladero today, with the potential to expand to Lama and other El Indio Belt projects in the future.”
Yumin Chen, Chairman of Shandong Gold Group, commented: “Building on the enhanced strategic cooperation agreement entered on July 9, 2018, Shandong Gold Group is pleased to announce further steps to deepen the strategic partnership with Barrick Gold Corporation, through this mutual investment and cross shareholding initiative, to capitalize on respective strengths and realize long-term synergies and to unlock long-term value for the respective shareholders. Building on the excellent partnership at Veladero today, we believe additional long-term strategic value can be created by working closely together on other projects including Lama and El Indio Belt projects in the future.”
Barrick and Shandong Gold are 50-50 joint venture partners at the Veladero mine in Argentina, the first step in the partnership between the two companies. As a second step, Shandong Gold is currently carrying out an independent evaluation of Barrick’s Lama project, including an analysis of potential synergies between Lama and the nearby Veladero operation. Barrick and Shandong Gold have also created internal working groups that are sharing technical expertise and best practices focused on best-in-class mining practices and innovation.

Habari ya Pili inapatikana hapa
Barrick Gold Corporation - Barrick and Randgold Combine to Create Industry-Leading Gold Investment Vehicle
Barrick and Randgold Combine to Create Industry-Leading Gold Investment Vehicle
Press Release SEPTEMBER 24, 2018
TORONTO — Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick” or the “Company”) today announced that it has reached agreement on the terms of a recommended share-for-share merger of Barrick and Randgold Resources Limited (the “Merger”).
The Merger will create an industry-leading gold company with the greatest concentration of Tier One Gold Assets1 in the industry, led by a proven management team of owners. Superior operating metrics, including the highest Adjusted EBITDA margin2 and the lowest total cash cost3 position among Senior Gold Peers4, will support sustainable investment in growth and shareholder returns.
The Merger is subject to approval by both sets of shareholders, regulatory approvals and other customary closing conditions.
It is intended that the Merger will be implemented by means of a court-sanctioned scheme of arrangement of Randgold Resources Limited (“Randgold”) and the Randgold Shareholders under Article 125 of the Companies (Jersey) Law 1991, with the entire issued and to be issued share capital of Randgold being acquired by Barrick. Under the terms of the Merger, each Randgold Shareholder will receive 6.1280 New Barrick Shares for each Randgold Share. Following completion of the Merger, Barrick Shareholders will own approximately 66.6 per cent and Randgold Shareholders will own approximately 33.4 per cent of the New Barrick Group on a fully-diluted basis.
Commenting on today’s announcement, John L. Thornton, Executive Chairman of Barrick, said:
“The combination of Barrick and Randgold will create a new champion for value creation in the gold mining industry, bringing together the world’s largest collection of Tier One Gold Assets, with a proven management team that has consistently delivered among the best shareholder returns in the gold sector over the past decade. Our overriding measure of success will be the returns we generate and not the number of ounces we produce, balancing boldness and prudence to deliver consistent and growing returns to our fellow owners, a truly simple but radical and achievable concept. There are no premiums in the merger because we strongly believe in the opportunity to add significant value for our shareholders from the disciplined management of our combined asset base and a focus on truly profitable growth.”
Commenting on today’s announcement, Mark Bristow, Chief Executive Officer of Randgold, said:
“Our industry has been criticised for its short-term focus, undisciplined growth and poor returns on invested capital. The merged company will be very different. Its goal will be to deliver sector leading returns, and in order to achieve this, we will need to take a very critical view of our asset base and how we run our business, and be prepared to make tough decisions. By employing a strategy similar to the one that proved very successful at Randgold, but on a larger scale, the New Barrick Group will leverage some of the world’s best mines and talent to create real value for all stakeholders.”
The Merger is expected to close by Q1 2019. Following completion of the Merger:
  • John L. Thornton, Executive Chairman of Barrick, will become Executive Chairman of the New Barrick Group.
  • Mark Bristow, Chief Executive Officer of Randgold, will become President and Chief Executive Officer of the New Barrick Group.
  • Graham Shuttleworth, Finance Director and Chief Financial Officer of Randgold, will become Senior Executive Vice President and Chief Financial Officer of the New Barrick Group.
  • Kevin Thomson, Senior Executive Vice President, Strategic Matters of Barrick, will become Senior Executive Vice President, Strategic Matters of the New Barrick Group.
  • Two-thirds of the directors of the Board of the New Barrick Group will be nominated by Barrick, and one-third will be nominated by Randgold.
Shares in the New Barrick Group issued to Randgold Shareholders will be admitted to trade on the New York Stock Exchange and the Toronto Stock Exchange, subject to the approval or acceptance of each exchange.
A Rule 2.7 announcement has been published in accordance with the City Code on Takeovers And Mergers (United Kingdom) and can be accessed at the following link:
https://www.barrick.com/files/br/Recommended-All-Share-Merger-of-Barrick-and-Randgold.pdf or on Barrick’s SEDAR profile (www.sedar.com).
Kama nimeelewa Barrick wameongeza mtaji kwa kuwauzia hao wachina shares yaani wachina wanakuwa sehemu ya shareholders wa Barrick; sasa hilo la kuhamisha uwekezaji wake Tanzania linakujaje?
 
Tunashukuru kwa taarifa kaka mwandishi si unajua tena sisi ni wanyonge? Na rais wetu mnyonge? Hapa mnyonge ananyongwa na haki yake hapewi ataikuta mbinguni huko. Mimi nalima huku Kama ni Noah nitanunua mwenyewe ooh sorry balimi.
 
Bishara na negotian za Barrick na Tz elikua ni transaction kubwa kufanywa na serikali changa (Novice) na inexperienced ya JPM na ma professor wake ambao ni bookish with little knowledge about bussiness, hata hawajawahi kumiliki retail shop kitaa eti ana negotiate transaction ya ma billion ya shilling. Mimi binafsi sikutegemea matokea chanya kutoka kwa hiyo team.
 
Back
Top Bottom