MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Mimi natapa taabu sana kuona Serikali inakua na kigugumizi kuwapatia wanafunzi wote wenye sifa mikopo ya elimu ya juu bila sababu, pesa yenyewe ni mkopo utakaorudishwa tatizo nini?? Hivi serikali inapata hasara gani kuwekeza pesa nyingi kwenye Elimu? Kama wananchi wote wanalipa kodi kuna nongwa gani kuwapatia mikopo watoto wao? Mimi nahisi hii ni kama chuki au Uonevu mkubwa sana kwa wanyonge.
Wenzetu wa Afrika kisini wanapigwa mabomu na polisi wakiandamana kudai elimu bure lakini sisi mikopo tu tunabaguliwa,inauma sana! Mbaya zaidi wakati wa kampeni watu walijiapiza kwamba kila mwenye vigezo atapata mkopo.Dah, Mungu ututie uvumilivu sana Watanzania.