Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Deutschwelle radio imeripoti serikali ya Uhuru Kenyatta imetenga bilioni tisa za Kenya au Tshs 200 milioni kukabili njaa.
hizo ndizo "pamba masikioni" kwani tuko ukanda mmoja na ukiona mwenzio ananyolewa kama una busara utaweka maji kichwani mwakoBado hatujafikia hali hiyo. Ikifika lazima Serikali itatenga fedha. Si kila kinachotokea Kenya na Tanzania kitatokea. Wao walikuwa na njaa tangu msimu uliopita na sisi ndo tulikuwa tunawalisha.
"mkuu, sisi ni chama tawala. tutasema na kufanya tutakacho. utatufanya nini?" tegemea majibu haya kutoka kwa wenye chama chao!source: Deutschwelle radio imeripoti serikali ya Uhuru Kenyatta imetanga mabilioni tisa ya fedha za Kenya au Tshs 200millkukabili njaa sisi tumeweka pamba hakuna njaa.......................tujipime!
source: Deutschwelle radio imeripoti serikali ya Uhuru Kenyatta imetanga mabilioni tisa ya fedha za Kenya au Tshs 200 mill kukabili njaa sisi tumeweka pamba masikioni hakuna njaa.......................tujipime!
Baada ya Mwezi mmoja njoo na mrejesho hapa hiyo fedha imetumika vipi na nani kanufaika nayo! Hiyo hela inakwenda kupigwa juu kwa juu moja kwa moja haitamfikia mwenye njaa wa Kenya hata mmoja, siyo mara ya kwanza Wakenya wanafanya hivi!