Wakati si milele

Wakati si milele

Wachache na hii mikorogo na vyakula vya dukani, we acha tu. Ila mimi najipikia michemsho si mdogo wangu mshana jr. unajua ingawa hatujawahi kutana.
 
Wachache na hii mikorogo na vyakula vya dukani, we acha tu. Ila mimi najipikia michemsho si mdogo wangu mshana jr. unajua ingawa hatujawahi kutana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumiss dada
 
Journey into future.... Wangapi mtafika huku? [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
79eb197f385e61057bbc8f24844a39f4.jpg
Kwa changamoto zinazotukabili kufika huko ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Kingunge wakati wa ujana na mchumba wake perisaz

dbff3538b6873e57391b2072f38a491f.jpg


338c023a72393b1593eca2ae74b63482.jpg


Mzee kingunge enzi za uzee wake
 
Back
Top Bottom