Wakati sasa umefika kwa watanzania wafanyakazi wote bila kujali itikadi zetu kukataa hili

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Inabidi kuitisha maandamano kwa wafanyakazi wote kupinga hili na hili linawezekana liko ndani ya uwezo wetu kwani lazima lifutwe. watanzania hili linawezekana kwani nani hatatupiga mabomu hakuna kwanza.
a) Polisi wote hili liko kwao pia mpaka miaka 55-60 polisi gani anakubali.
b) Wafanya kazi walioko maserikalini nani anakubali maanadamano tu ya kupinga na hapo ndipo tutafanikiwa

1. Kuandaa maandamano na migomo nchi nzima kushinikiza serekali ifute sheria hii
kandamizi.

2. Sheria hii haipaswi kuwaingiza wafanyakazi wa zamani iwahusu wafanyakazi
wapya tu ambao wameingia makazini wakati wa sheria inaanza kufanyakazi.
 
Hii sheria haifai hata kidogo maana waajiri wa private sector wanaajiri kwa mkataba baada ya mkataba unaweza kuachishwa kazi au kuendelea. pia watu wengi wanafanyakazi kwa malengo baadaye wanajiari wenyewe je utasubiri mpaka miaka 55 au 60 ndo upewe haki yako?
 
Selema tuko pamoja huu ni uonevu kabisa na hili inatubidi kuandamani si kupindua nchi ila wao wenyewe wamejipindua katika hili kama ilikuwa ni kutujaribu basi imekula kwao. uwezi kumpangia mtu kitu cha kufanya na fedha zake basi na isiwelazima kujiunga huko maana sio kila mtu anataka achukue uzeeni hizo pesa. Kila mtu anataka kuchukua akiwa na nguvu hasa wale wasio katika sekta rasmi. ajira yangu ni ya miaka minne ikiisha inategemeana kama nitapewa tena mkataba au la hapa ikoje uwizi huuuuuuu
 
Serikali kama imekopa hela zetu kufanyia matanuzi halafu wanaleta hiyo sheria kandamizi hatukubali. halafu huyo binti mdogo wa SSRA anajitamkia kuwa ni lazima mwenye hela yake asipewe mpaka miaka 55-60 ni dharau kubwa kwetu tunaokatwa hizo fedha, halafu anasema tutakopweshwa nyumba huyo mzee miaka 60 anataka kukopa nyumba atalipa kutumia pesagani nyumba ni millioni 180,000,000/ wabunge walilalamika bungeni hawa wanatuletea zao! Wakome kabisa kuchezea pesa zetu au mifuko hii ife.
 
Inabidi kuitisha maandamano kwa wafanyakazi wote kupinga hili na hili linawezekana liko ndani ya uwezo wetu kwani lazima lifutwe. watanzania hili linawezekana kwani nani hatatupiga mabomu hakuna kwanza.
a) Polisi wote hili liko kwao pia mpaka miaka 55-60 polisi gani anakubali.
b) Wafanya kazi walioko maserikalini nani anakubali maanadamano tu ya kupinga na hapo ndipo tutafanikiwa

1. Kuandaa maandamano na migomo nchi nzima kushinikiza serekali ifute sheria hii
kandamizi.

2. Sheria hii haipaswi kuwaingiza wafanyakazi wa zamani iwahusu wafanyakazi
wapya tu ambao wameingia makazini wakati wa sheria inaanza kufanyakazi.

Hapo ndipo unapoharibu, Sheria haitakiwi iwe na ubaguzi. usipende ubinafsi.
 
Back
Top Bottom