shegaboy
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 213
- 34
Inabidi kuitisha maandamano kwa wafanyakazi wote kupinga hili na hili linawezekana liko ndani ya uwezo wetu kwani lazima lifutwe. watanzania hili linawezekana kwani nani hatatupiga mabomu hakuna kwanza.
a) Polisi wote hili liko kwao pia mpaka miaka 55-60 polisi gani anakubali.
b) Wafanya kazi walioko maserikalini nani anakubali maanadamano tu ya kupinga na hapo ndipo tutafanikiwa
1. Kuandaa maandamano na migomo nchi nzima kushinikiza serekali ifute sheria hii
kandamizi.
2. Sheria hii haipaswi kuwaingiza wafanyakazi wa zamani iwahusu wafanyakazi
wapya tu ambao wameingia makazini wakati wa sheria inaanza kufanyakazi.