Wakati ndio huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati ndio huu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MY MIND, Oct 18, 2012.

 1. M

  MY MIND New Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JE UMESHAWAHI KUJIULIZA UNGEPENDA KUWA MTU WA AINA GANI? NA NI MAMBO MANGAPI UNAYOSEMA UTAYAFANYA PINDI WAKATI UTAKAPOFIKA? AMINI USIAMINI, HAKUNA MUDA MWINGINE KAMA HUU. WENZETU WANASEMA LIFE HAS NO TRIALS AND TIME NEVER WAITS, WEWE UNAYEFANYA REHERSALS, YOUR WASTING YOUR TIME, UNAPOTEZA MUDA, BADILIKA FANYA JAMBO LINALOWEZEKANA SASA MENGINE YATAKUKUTA NJIANI. TAFAKARI!!!!!!!!![​IMG]
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  There is time for everything ....................

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  nimechukua hatua..............
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Point nzuri ingawa kuitekeleza yahitaji nguvu ya ziada, because of the so called FEAR of the UNKNOWN!
   
 5. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Ni mtazamo wako tu huu.
   
 6. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  True mkubwa wakati ni sasa
   
 7. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kila jambo lina wakati wake. Kuna wakati wa kupanda na kupalilia, wakati wa kutia mbolea, wakati wa kuvuna na wakati wa kula mazao yako. Kinachotakiwa ni wakati ule ukifika utumie kwa lengo muafaka. Usije ukapanda wakati wa mavuno, utabugi meeeeeeeeeen!
   
Loading...