Tunaweza kukutana angani now?
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]ephen_ nilikukosea kwenye ule uzi nisamehe
16:00
Naunga mkono hojaWakati mwingine watu hawaamini kuwa walikosea. Lakini hiyo haijalishi. Kuomba msamaha sio kukuthibitisha kwamba umekosea la hasha bali unajitetea mwenyewe.
Usisubiri mtu akuombe msamaha na kumwekea kinyongo hadi atakapofanya hivyo.
Unajua kwa nini? Kwa sababu mtu ambaye anahisi hasira yako, hufadhaika, na kujenga chuki na wewe ama kukuogopa na kukukwepa.
Hisia hizo za uhasama, mihemko, na mawazo hutiririka kupitia mkondo wa damu yako kama sumu yenye nguvu kubwa na unakuwa mwenyeji hai wa sumu hiyo.
Badala ya kungoja msamaha, au kutarajia mmoja aje, tambua kuwa huenda isitokee na ni sawa. Kwa sababu maisha yako na furaha yako haitegemei mtu mwingine kusema samahani. Maisha yako na furaha yako inategemea wewe na si mtu mwingine.
Kwahiyo hata kama wakati mwingine wasipokuomba msamaha wala kukupa pole usijali
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hukupa amani ya rohoni na kukuongezea pumzi ya uhaiNikimsamehe kwa hiyari yangu lazima heshima ipungue pia...
Apology Accepted, Access denied"[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]Mimi huwa nasamehe watu lkn nasamehe vibaya "Apology Accepted, Access denied"
Wewe ni mtu mwema sana sanaMkuu nimekusamehe yameisha kabisaaa
Kua na amani!
Na wewe pia mkuuWewe ni mtu mwema sana sana
Na mimi kitu gani mkuu?Na wewe pia mkuu
Na wewe ni mwemaNa mimi kitu gani mkuu?
Tenda wema na ukwende zako usingoje shukrani..Wakati mwingine watu hawaamini kuwa walikosea. Lakini hiyo haijalishi. Kuomba msamaha sio kukuthibitisha kwamba umekosea la hasha bali unajitetea mwenyewe.