Wakati Makatibu Wakuu wanakiua chama Wenyeviti walikuwa wapi.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Lawama zimekuwa zikielekezwa kwa Makatibu Wakuu komred Kinana na mzee Makamba kuwa walikiua chama walikifanya chama kukimbiwa na wanachama, kupoteza imani kwa wananchi, lkn cha ajabu hatusikii lawama zikielekezwa kwa wenyeviti wao.

Wakati Makamba akiwa Katibu Mkuu Kikwete alikuwa Mkiti na wakati Kinana akiwa Katibu Mkuu Kikwete na Magufuli walikuwa wenyeviti, mbona wao hawalaumiwi kukifikisha, kuna mengi walifanya kwa maelekezo ya wenyeviti.

Tukichukua mabaya na kuwabebesha Makatibu peke yao tutakuwa tunawaonea.
 
Back
Top Bottom