Hulikimbii bali unalikwepa
Huyu kiumbe hana shida ukikutana naye nchi kavu.Nilifanikiwa kuonana na huyu kiumbe siku ile hata yeye hakuamini macho yake jinsi nilivyompotea kwa sekunde tatu sipo mbele yake kwa mbio ya Treni mpya hizi ambazo ujenzi wa reli umefanyika jana 160Kph.
Sawa ila utatuaje kama hana shida ? Acha maneno ya kuhisi mkuu huyo ni mnyama.....wakati wowote anafanya unyama.Huyu kiumbe hana shida ukikutana naye nchi kavu.
Ahahahaha! Unasimama tu! Then unamuangalia anavyokuja bila break unamyia mawash kama yote