johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,019
Kwamba umesahau mlipokuwa mmemuweka Mbowe?Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Umeandika ujinga, ulitaka Chama.kikuu waandamane kwa.ajili yako na familia yako? Wakati mbowe Mashamba yake yana haribiwa kule wilayani Hai, uliongea chochote? Wacha kuwaza kwa kutumia utumbo mkubwaMoja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Hawa ni wanao jaza server na post za kijinga jinga tuKwamba umesahau mlipokua mmemuweka Mbowe?
Haya, ngoja nikukumbushe. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikua na kesi ya ugaidi, na viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi.
Hivi umeuliza bunge lilikua wapi? Jibu ni hili, "bunge lilikua mfukoni mwa Ndugai".
Inahitaji kiwango kikubwa sana cha upumbavu kuiamini na kuitetea CCM!
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Hivi ulishawahi kujiuliza marehemu Sitta jina lake Halikurudi katika walitaka usipika ??? Sema chama lako halitaki mabadiriko wala mawazo chanya kutoka mahala popote. Na sijui kama na wewe ni munufaika wa hiyo clan. Kama haumo basi utaishia kukebeshi vyama vya upinzani hadi mwisho wa nguvu Yako.Mtaungana kubeza vyama mbadala, lakini mwisho wa siku wanaoumia ni akina nani au ukoo wenu wote ni wapendwa na Lumumba?Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Walikaa kimya kisa prof alishikiria msimamo wake kuwa jamaa ni madhaifu sanaMoja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Sasa mbona hao “viongozi” bado wamejichimbia huko ukimbizini hadi leo ?...viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi...
Mkuu SMART GHOST barikiwa Sana mkuu wangu.Kwamba umesahau mlipokua mmemuweka Mbowe?
Haya, ngoja nikukumbushe. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alikua na kesi ya ugaidi, na viongozi wengine mliotishia maisha yao walikimbia nchi.
Hivi umeuliza bunge lilikua wapi? Jibu ni hili, "bunge lilikua mfukoni mwa Ndugai".
Inahitaji kiwango kikubwa sana cha upumbavu kuiamini na kuitetea CCM!
Kambi ya upinzani ilipokuwa inapinga, walikuwa wanatolewa nje ya bunge. Na wanapotoa hoja zenye mshiko, bunge linaamua kupiga kura ili kufikia maamuzi na unajua waliopo wengi mbungeni ni watu wa namna gani, walisikika wakisema ATAKE ASITAKE NI.....Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Huu ujinga wa kutafuta kichaka cha kujifichia acha mara moja!! CDM inajulikana walikua enemy no one wa utawala awamu ya tano, bunge kuanzia speaker walikua ni mwendo wa mapambio kwa Rais, upinzani walishughulikiwa ndan ya bunge na Rais akasema waz wakiwa nje atawashughulikia. Mahakama ilikua inafuata maelekezo ya utawala!!Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Huu nao ni unafiki wa kiwango cha gold safi.Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa
Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
KUB je?
Na Mahakama?
Mlale unono
Haya maswali kaulize kwenye kikao chenu dodoma keshokutwa