Wakati gani panapendeza kufanya mapenzi?

Wakati gani panapendeza kufanya mapenzi?

wakati wa jua la utosi hapana aisee hata kama tupo kwenye AC
 
Naona magwiji na wazoefu wa nyakati wamekupatia majibu
 
Asikuambia mtu. Usiku patamu aiseee
Pale mpaka mida ya asubui asubui inakaribia. Patamu paleee
 
Napendelea asubuhi!
Mwili umetulia na hua nina hisia kali sana mda huo... Yaani ile unaamshwa na mabusu, ile kujisogeza vizuri unagusana na dushe imesimama balaa! Yaani mechi inaenda bila ata kufungua macho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom