Wakati gani panapendeza kufanya mapenzi?

Wakati gani panapendeza kufanya mapenzi?

Markomx

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2016
Posts
711
Reaction score
764
wakuuu

tukiacha hali ya mazoea baina ya mke na mme ya kufanya usiku,ebu tuje kwenye uhalisia

Assume unampenzi na ni mara chache kukutana nae,
ikatokea mkakubaliana weakend mkutane ili mjivinjili mambo ya 6*6,game lazima iwe ya uhakika

Na inabidi mfanye sex kati ya asubuhi,jioni au usiku pekee

ewe boy,au girl ,ili ufurahie mapenzi hua unapenda kufanya mapenzi wakati gani?
na kuanzia saaa ngapi?(mfano mchana sa 6)

na sababu zipi zinazopelekea uupende huo muda,

Note:ushauri wenu utazingatiwa

kalibuni magwiji na wazoefu wa nyakati

nawasilisha
 
kwa kuwa huyo mtu hukai nae karibu hvyo suala la kumpata asubuhi ni ngumu na option yako itakuwa aidha jioni au usiku.lakini kwasababu huyo mtu anakaa mbali si vzuri kupiga nae show ucku kwani mtachelewa kutoka na kujiandaa kwa shughuli za kesho so ushauri wangu ni kwambA piga naye show jioni hvyo saa mojamoja,mbili mnaLOG OUT
 
poa mkuu

ila umesahau tu kua chance iliyopo ni either asubui,jioni (kuanzia sa 8 ad 2 usku),na usiku

ni mda gani utapenda upige show ya uhahikika bila vikwazo?
 
Mara nyng jion km ni demu tu zile za kukutana geto au lodge maana ukimwambia mkutane hayo maandaliz tu anakuja saa nane na kuendelea
 
Back
Top Bottom