St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Mshana leo kule zenji kuna kijana wa ccm amebeba bango linasema machotara na mahizbu kuwa zanzibar sio yao. Basi tunasubiri hio propaganda watayoambiwa Wachaga nao Tanzania sio kwao. Warudi Kenya, ccm akili zao kama Lizabon.Hii propaganda ilishindwa
Vijana wengi wa CHADEMA wana shida hii ya kuelewa kuhusu 'umdhaniaye ndiye mara nyingi huwa siye...na umdhaniaye siye huwa ndiye',they're very slow to learn anything, Laiti wangejua kwamba mazingira ya siasa za Kiafrika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani akiwa pia mfanyabiashara anakuwa ktk uwezekano mkubwa wa kutumika na serikali ya chama cha tawala kwasababu kubwa mbili🙁1) mfanyabiashara anaweza kuzigeuza siasa kuwa jukwaa lingine la kimapato(2)mfanyabiashara anapenda kupata faida kubwa kubwa,faida kubwa wanazozipata mara nyingi hutokana na fouls wanazozicheza kama vile kutolipa kodi, kufanya biashara nyingine zisizo halali.Mara nyingi utakuta serikali wanafahamu mambo yote haya hivyo yanayofanywa na viongozi hawa wa vyama vya upinzani ambao ni wafanyabiashara lkn utakuta hawawachukulii hatua za kisheria kwakuwa wanatoa ushirikiano kwa chama tawala.Je,Wana CHADEMA mliwahi kujiuliza kuhusu hilo?mnakimbilia kumwita Dr Slaa msaliti,itakuwaje siku mkijua kuwa kumbe mnayemwita shujaa wa CHADEMA ndiye msaliti mkubwa dhidi ya harakati za kuiondoa CCM madarakani?itakuwaje siku mkija kujua kuwa ujio wa Lowassa upinzani ulikuwa sehemu ya mkakati wa chama tawala kuvihujumu vyama vya upinzani na kujihakikishia kurudi madarakani?just thinking!
Yule rais Wa mioyo ya nyumbu vipi mbona haendi kumsalimia sumaye!?!
slaa yuko na dalila wake tyson anaisoma namba hii ndio siasa bwanaaaWakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri Wassira aliposema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini ilipofika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliyeitabilia kifo CHADEMA kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na vijana wa CHADEMA,.
Slaa alipohama CHADEMA alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa CHADEMA,sasa Slaa hasikiki na CHADEMA inazidi kuchanua,kweli Mungu siyo Athumani.
Wakati wa miaka ya 2012 nilikatishwa tamaa na waziri Wassira aliposema kuwa CHADEMA itakufa kabla ya 2014,niliogopa na kujutia uamuzi wangu wa kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini ilipofika 2015 baada ya uchaguzi mkuu yule aliyeitabilia kifo CHADEMA kumbe ndiyo akaondolewa kwenye dunia ya siasa na vijana wa CHADEMA,.
Slaa alipohama CHADEMA alisema anaamini ataondoka na vijana wake na wapiga kura woote wa CHADEMA,sasa Slaa hasikiki na CHADEMA inazidi kuchanua,kweli Mungu siyo Athumani.
Slaa yupo Marekani anaishi kwenye Nyumba ambayo alinunuliwa na Benard Membe kwa kutumia yale Mamilion ya Gadafi, Slaa anakula pesa alizopewa na ccm na maadui wengine wa Lowasa zikiisha atarejea Nchini.
Wewe ni kati ya watumishi wa yumbani kwa slaa na siku ile anatupiwa vilago ndiye ulikuwa unamtandikia kwenye kigari chake ili bosi wako apate angalau kausingiziDokta Slaa hakusema anaondoka na wapiga kura wote wa CHADEMA.
Hizi zitakuwa akili za hawa "ulipo tupo",CHADEMA halisi kama mimi hawezi kumkandia dk.Slaa.
Kweli mkuuSerikali haiendeshwi ki Mbowe mbowe.
Kwani hizo shule na hospiali zinajengwa mbinguni?Mleta mada uwe na kumbu kumbu. Mke wa silaha alisema wazi yeye na mume wake wanaachana na siasa marafiki wamewapa pesa wanataka kujenga shule na hospitali. Sasa unataka waonekane wapi
Kajikomba saana kwa LowassaMubembe kwa taarifa yako mambi yake yametupwa kapuni maana hatuhitaji viongozi wa kujikombakomba
Ni kweli hatuwezi kumlaumu tatizo DELILA alitaka kuwa First lady mambo yakaenda kombo akambadilisha akili, bado Dr. Wa Ukweli tunamkubaliTusimponde Slaa, tatizo ni delila
Ebu twambie hao ni marafiki wa wapi walijitolea kutoa zawadi kwa slaa kujengea shule na hospitaliMleta mada uwe na kumbu kumbu. Mke wa silaha alisema wazi yeye na mume wake wanaachana na siasa marafiki wamewapa pesa wanataka kujenga shule na hospitali. Sasa unataka waonekane wapi