Wakati baba yake akitangaza kuingia msituni mtoto wa Komba ajiunga na CHADEMA

Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaa kweli siasa ni mchezo mchafu na wajinga ndo waliwao..... Tizama Komba alivyoamua kuwaua chadema kidesign tena katika kipindi hichi ambacho umaarufu wake umekua kwa asilimia 300...Mwandishi alimuuliza kijana kama anampango wa kumng'oa baba ake, kijana bila kumung'unya maneno amesema haiwezekani, ili kuwapoteza amezungumzia suala la kurithi madaraka...kurithi madaraka na kumng'oa mtu madarakani ni vitu viwili tofauti jaman au hakuelewa swali??!!
Halafu dogo anamwambia baba ake ajipange vizuri ili asijekung'olewa madarakani na chadema (huku chadema wakishangilia hili...this is too much(poor chadema))
Last ili kukamilisha azma yake ya kumsafisha baba ake ameweka wazi kuwa picha si za kweli na yeye yupo upande wa baba yake...

CCM OYEEEE!!!!
Kwa akili ndogo za chadema kamwe hawatoshika hatamu katika nchi hii

wacha hawa mahayauni wasiolewa nyuma wala mbele waendelee kupiga kelele! CHADEMA bhana imebarikiwa kusapotiwa na vichaa
 
Huyu ni mamluki aliyetumwa mtaona baadae atakavyoigeuka chadema mtaniambia ataipa umaarufu wa muda chadema kisha atageuka na kuwa swira mwenye sumu kaliii.

Kama Zitto.Tuliwashauri CDM lakini hawakusikia,they have paid heavily.
 
Jamn kila mtu ana haki ya kuamua na kufanya atakalo ila huyo mtt wa komba alipoenda pabaya wenzake wanatoka yy anaingia...!!
 
Huyu mtoto mjanja sana.ameona atumie kipindi hiki cha kashfa ya baba yake kujitangaza ili ajulikane. Alikuwa wapi kujiunga chadema anasubiri baba yake aumbuke ndo aje ili kutuliza upepo tuanze kumjadili yeye.mimi hajanishawishi naona kama ni mbinu ya interahamwe
 
Back
Top Bottom