Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,400
- 219,805
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na mbereko ya chuma ?
Ikiwa ataendelea kuzungumza ujinga majukwaani , tutafumua kila kitu humu , na tutafunguka kutekwa kwa MO , na tutalipua Malengo ya Hangaya kumpa hicho cheo .
Tuheshimiane