Wakatae marafiki wenye Shobo ( Mamluki )

Wakatae marafiki wenye Shobo ( Mamluki )

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,718
Urafiki wa kutafutana kwa matukio ukatae , wakati wote chimbuko la urafiki wako na mtu litokane na utu na sio mtu akushobokee mambo yako yakiwa Super, Yesu mwenyewe aliwakemea wanafunzi wake waliokuwa wanamtafuta ili wapate mikate.

Wapo aina ya watu kwenye maisha watatakakuwa na ukaribu na wewe ukiwa na nafasi fulani au uwezo fulani watu wa aina hii tambua utawapoteza usipokuwa na hiyo nafasi au huo uwezo they are not loyal to you.
 
Kuna mpuuzi akinisalimia ujue ana jambo aidha nimpe pesa au nimpiganishie ajira za huko tamisemi
Kuna watu Duniani tumeumbwa tofauti wapo watu hawana mishipa ya aibu unakuta mtu anakutafuta kila siku kwenye shida zake tu , nafuu ingekuwa maramoja ila kila muda akikutafuta ujue ni shida imemleta kwako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wote mtakaokataliwa njooni kwangu mimi napokea wote wote kikubwa tusiombane maoko..
 
Back
Top Bottom