St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Oct 30, 2010 #1 Hata hawana aibu kutujia na mahelikopta yao wakati sisi hata maji safi ya kunywa tu shida.
C chanai JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 279 Reaction score 2 Oct 30, 2010 #2 hao ndo mafisadi waliofirisi nchii hii. Mungu awalaani wote na wasipate kura za Watanzania kesho
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,237 Oct 30, 2010 #3 Mambo magumu sana haya Mkuu, Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho.
Mambo magumu sana haya Mkuu, Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Oct 30, 2010 Thread starter #4 Sikonge said: Mambo magumu sana haya Mkuu, Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho. Click to expand... Tunao tu mkuu mpaka kieleweke na watazishika sana suruali zao mwaka huu.
Sikonge said: Mambo magumu sana haya Mkuu, Angalia Kikwete hadi kakonda. SURUALI inaanguka na inabidi aipandishe kuokoa Mtepesho. Click to expand... Tunao tu mkuu mpaka kieleweke na watazishika sana suruali zao mwaka huu.
mmiy Member Joined Oct 2, 2010 Posts 27 Reaction score 0 Oct 30, 2010 #5 Akija wa hivyo kwetu tunampiga mawe hata aibu hana.!!!!
Bwaksi Senior Member Joined Nov 2, 2010 Posts 125 Reaction score 4 Nov 2, 2010 #6 Mawe ya nini, tunammwagia maji ya kuwasha kama yale wanayowamwagiaga wastaaf wanaodai haki zao!!!!!!!!!!!!????????
Mawe ya nini, tunammwagia maji ya kuwasha kama yale wanayowamwagiaga wastaaf wanaodai haki zao!!!!!!!!!!!!????????
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Nov 6, 2010 #7 JK kapendeza na kakaa ki-CCM
Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Nov 8, 2010 #8 hii nayo ni ile ya Barrick?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Nov 8, 2010 Thread starter #9 Kamaka said: hii nayo ni ile ya Barrick? Click to expand... Sio Barrick Mkuu,hii alikuwa anaenda kwao kule singida kaskazini kuwaomba wamchague tena awawakilishe bungeni.
Kamaka said: hii nayo ni ile ya Barrick? Click to expand... Sio Barrick Mkuu,hii alikuwa anaenda kwao kule singida kaskazini kuwaomba wamchague tena awawakilishe bungeni.
Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 Nov 8, 2010 #10 Singida mkoa masikini kuliko yote tz halafu mbunge wao anawakejeli kwa helicopter! What a shame!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Nov 8, 2010 Thread starter #11 hmethod said: Singida mkoa masikini kuliko yote tz halafu mbunge wao anawakejeli kwa helicopter! What a shame! Click to expand... There you are ,and that was my point.
hmethod said: Singida mkoa masikini kuliko yote tz halafu mbunge wao anawakejeli kwa helicopter! What a shame! Click to expand... There you are ,and that was my point.