Wakata miwa wa Kiwanda cha Ilovo (Kilombero-1) na (Kilombero-2) wagoma

BABA KEREN

Member
Jun 5, 2011
29
12
Wakata Miwa wa Kiwanda cha ILOVO chenye Matawi Mawili (KILOMBERO-1 na KILOMBERO-2) Leo ni siku ya Nne wamegoma wakidai Nyongeza ya Mishahara yao, huku wakiwa na Maandamo yasiyo Rasmi wakiwa na Fimbo mikononi mwao tayari kumuadhibu Yeyote yule atakaye wasaliti katika Maamuzi yao.

Mpaka muda Huu ninapo wajuza taarifa Hii kuna hali ya sintofahamu kati ya WAKATA MIWA na UONGOZI wa Kiwanda.

Nimejaribu kufanya Mahojiano na Baadhi ya Wakata miwa Hao kutaka kujua endapo wataweza kusitisha Mgomo wao Haraka ili warejee katika Mazungumzo Mezani nao wamenieleza yakuwa, wapo tayari kusikia kwanza Mabadiliko ya Fedha na Si Vinginevyo. Mpaka sasa Usiku wa Saa 2:45 tarehe 18 August 2011 Wakata Miwa hao wanaendelea na Maandamano.

Kuna taarifa zasizo Ramsi ya Kesho kufika Waziri Mkuu-Mh:Mizengo Kayanza Peter Pinda.Kesho zaidi nitaendelea Kuripoti Yatakayojiri.
 
Kwani wakatamiwa hao mshahara waoni shilingi ngapi kwa mwezi? Tujuze ww uliyeanzisha thread hii ili tuweze kuwasaidia wenzetu
 
Wasafwa hawana utani!nakumbuka nilimshuhudia mmoja akila paka(nyau) na kummaliza pale maeneo ya K1.
 
Niliwahi kushuhudia mmoja wao akipigwa nusra kufa kisa kajipendekeza kwenda kazini
 
safi sana kwani na wafanyakazi wa k1 and k2 wasigome tu wale makaburu wana roho mbaya. wabongo wanawalipa mishahara midogo ,wao wanalipana midola mingi
 
Nilona kwenye taarifa ya habari ITV mmoja akidai wanalipwa 4,500/- kwa siku lakini wao wanaingia kazini saa 11 asubuhi na kutoka saa kumi na moja jion huku wakiwa kila mmoja amekata tani 3-5 kwa siku.
 
Back
Top Bottom