Habari wadau...ninahitaji mawasiliano na mtu anaejua ama kuhusika na kukata bodi ama jina lingine kuchinja....mimi nina gari zangu mbili ninataka kuchinja ila kabla sijafanya hivyo nahitaji kujua estimated pesa nitakayoipata. Kama unaelewa tafadhali tujuzane.....njoo kwa PM