wakandarasi wa bongo mpo sirias kweli?

wakandarasi wa bongo mpo sirias kweli?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
wakandarasi wa bongo mpo sirias kweli?
bongo.jpg
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah ah ah hiyo sasa balaa, yaani huo si uvivu ni upuuthi
 
Hahahahaaaa kweli hii kali..
Ni mtaa gani hapo mkuu??????
 
HALAFU MAGUFULI ANATAMBA KUWA TANZANIA imejenga barabara nyingi sana kwa kutumia pesa zetu! ona usanii kama huu! jamaa inabidi PCCB iwaweke lupango mara moja!
 
assume huyu jamaa apewe kusimamia daraja la kigamboni. Kwenye uke mzunguko si anaweza akaweka ngazi. Hahaha
 
Ooosh!Hoping that image is not from the project i'm dealing with,total irresponsibility!
 
mayb hapo kuna k2 chn au kuna k2 wanakuja kukiweka,2angalie kwa jcho la tofaut
 
HALAFU MAGUFULI ANATAMBA KUWA TANZANIA imejenga barabara nyingi sana kwa kutumia pesa zetu! ona usanii kama huu! jamaa inabidi PCCB iwaweke lupango mara moja!

imueke Rupango kwa kosa gani bwana! kwani kuna rushwa hapo!
 
hao ndo zao tena sana sana wataweka viroba vya mchanga...
 
Hako kamsuala ni divation ya hako ka karo inachokaona mbele. Ndivyo tulivyo.
 
itakuwa product za VETA

Saint Ivuga, hivi umewahi kujiuliza makampuni mengi ya ukandarasi yanaendeshwa na kina nani? Yaani VETA ni qualification ya juu sana, hasa kwenye ujenzi wa barabara. Watu wamevamia fani hiyo kila upande. Ndio maana kazi za halmashauri nyingi Tanzania, either ni mbaya kwa kiwango au zinapelekwa kwa kubebana bebana. This is our country and the country that we all love. Ukifika sehemu ile itapidi upinde kona kali na kuendelea na mwendo
 
Back
Top Bottom