dopler effect
Zile zinatumia image force detection, lakini tatizo zinafanya kazi kwa kiwango cha makadirio tu, haziwezi determine actual speed
Normally zinatoa matokeo below actual speed
Ile tochi inapima relative speed. Anapoielekeza kwako halafu kwa mfano wewe ukawa kwenye speed 100km/hr tuna-asume ile tochi iko stationary hivyo speed yake ni zero i.e 0km/hr hivyo inachofanya ile tochi inatafuta relative speed kwa kutoa negative ya speed yako yaani 0km/hr-(-100km/hr)=100km/hr.
Lakini kwa sababu wale maaskari huwa wanaificha ile tochi na kuielekeza kwako ghafla hicho kitendo kinafanya hiyo tochi nayo iwe kwenye speed labda tuseme 5km/hr hivyo kama speed limit ilitakiwa iwe 100km/hr akikuelekezea kwako ukawa kwenye speed 100km/hr anakuwa amepata relative speed ya 5km/hr-(-100km/hr)=105km/hr kwa hiyo unakuwa ume-over speed!
Brother Kinyungu hapo hapo kwenye 105 kwa nini isiwe 100 - 5 = 95km/hr?Ile tochi inapima relative speed. Anapoielekeza kwako halafu kwa mfano wewe ukawa kwenye speed 100km/hr tuna-asume ile tochi iko stationary hivyo speed yake ni zero i.e 0km/hr hivyo inachofanya ile tochi inatafuta relative speed kwa kutoa negative ya speed yako yaani 0km/hr-(-100km/hr)=100km/hr.
Lakini kwa sababu wale maaskari huwa wanaificha ile tochi na kuielekeza kwako ghafla hicho kitendo kinafanya hiyo tochi nayo iwe kwenye speed labda tuseme 5km/hr hivyo kama speed limit ilitakiwa iwe 100km/hr akikuelekezea kwako ukawa kwenye speed 100km/hr anakuwa amepata relative speed ya 5km/hr-(-100km/hr)=105km/hr kwa hiyo unakuwa ume-over speed!
Inapima speed ya gari kwa kupima muda unaochukua mwanga kutoka kwenye "tochi" kufika kwenye gari, kuakisiwa "reflected" na kurudi tena kwenye "tochi"
Kwa kugawa muda huo uliopatikana kwa mbili na kwa vile kasi ya mwanga inajuulikana, basi distance iliyopo gari kutoka "tochi" inaweza kujuulikana.
Kwa vile mwanga unakasi kubwa, ndani ya sekunde unaweza kujua mabadiliko ya distance ya gari kulinganisha na ilipo tochi.
Ukiweza kujua mabadiliko ya distance ya gari with time ndio umeshajua kasi ya gari hiyo
Kwa hiyo in short inachopima ni mabadiliko ya muda utakaohitajika kureflact mwanga kutoka kwenye tochi hadi gari ili kujua mwendo kasi wa gari hiyo
OK. Kwa hiyo hii ni kusema kwamba,ni lazima object(gari)iwe visible,sio? So,kama kuna kona au any obstacle in between inakuwa haifanyi kazi. Hapo nimekuelewa kwa kiasi fulani.Juzi nilikuta watu wanaongea kwamba ukiweka CD hizi za kawaida kwenye kioo cha mbele cha gari,ule upande wa CD inaong'aa sana u-face kwa mbele(walipo matrafiki) inazuia ile tochi kufanya kazi.Sikuchangia chochote, bay the way sikujua ile tochi inafanyake kazi.
Vipi sasa,kitalamu hii kitu inaitwaje?!
kitaalamu inaitwaje? maana imezoekeka tu jina ya torch.
kitaalamu inaitwaje? maana imezoekeka tu jina ya torch.
Katika lugha ya Kiingereza inaitwa "LIDAR" ikiwa ni kifupi cha "Light Detection And Ranging"