WAKALI WA KUCHORA: Tupia Picha Kali ya kuchora

livafan

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
2,925
5,528
Katika haya maisha kila mmoja wetu kajaliwa karama(kipaji) chake, yaweza kuwa ni Kucheza Mpira, kuimba, kutunga story na Pengine kuwa mchoraji.
Binafsi Mimi napenda sana uchoraji kwa namna yeyote ile japokuwa sijawa mzuri kihivyo katika fani hii, lkn najua wapo wajuvi wa hivi vitu ambao kupitia huu Uzi naweza kujifunza zaidi.
Kama wewe ni mkali wa hivi vitu tupia picha ulizochora tuone ubunifu na mautundu.
Kwa kuanzia
08e2d7a7cefa2fb47efbfaaaa164cb81.jpg
 
Nina wasiwasi utakuwa umekandamizia hapo.
 
Back
Top Bottom