Alvin John
Member
- Mar 27, 2018
- 56
- 25
Habari wakuu.. Samahanini jama, kwa wale wanaofahamu kiasi wanacholipwa wale jamaa ambao ni mawakala wa kukata tiketi za mabasi ya kwenda mikoani naomba anijulishe. Asanteni.
Nnavojua anapataga hela kwa mteja wakala wa mabasi ni kama broker anaongea na mwenye basi nauli yake kamili ni sh ngapi alafu yeye anakula cha juu kutoka kwa wateja inagwa wateja wote nauli zitakuwa zinarofautianagaHabari wakuu.. Samahanini jama, kwa wale wanaofahamu kiasi wanacholipwa wale jamaa ambao ni mawakala wa kukata tiketi za mabasi ya kwenda mikoani naomba anijulishe. Asanteni.
Sawasawa.. Asante sana.Nnavojua anapataga hela kwa mteja wakala wa mabasi ni kama broker anaongea na mwenye basi nauli yake kamili ni sh ngapi alafu yeye anakula cha juu kutoka kwa wateja inagwa wateja wote nauli zitakuwa zinarofautianaga
Okay bossSawasawa.. Asante sana.