Je mzigo unauzito wa kilo ngapi?Ndugu zangu samahani, naombeni mwenye taarifa sahihi wa wakala anayesafirisha mzigo toka China hadi Tanzania kwa bei nafuu.
Mara Yangu ya kwanza kununua mzigo China lakini nakumbana na changamoto ya usafiri bei kubwa sana.