Wakala wa kusafirisha mzigo toka China hadi Tanzania

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
152
Ndugu zangu samahani, naombeni mwenye taarifa sahihi wa wakala anayesafirisha mzigo toka China hadi Tanzania kwa bei nafuu.
Mara Yangu ya kwanza kununua mzigo China lakini nakumbana na changamoto ya usafiri bei kubwa sana.
 
Je mzigo unauzito wa kilo ngapi?
 
Back
Top Bottom