wakala wa huawei

wakala wa huawei

Brown ad

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
345
Reaction score
205
habari wapendwa!! nilikuwa
nauliza kampuni ya huawei wana
wakala hapa tanzania na yupo
sehemu gani!! natanguliza
shukrani
 
Tigo tanzania
Huawei Technologies Tanzania Co., Ltd 17th & 18th Floor Golden Jubilee Towers Ohio Street P.O.Box 38264 Tanzania
Tel: 00255-22-2861971
Fax: 00255-22-2861972
 
Wakala wao yupo lile jeengo oposite na VETA Dar es salaam
 
Back
Top Bottom