PreGE2025 Responded Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

PreGE2025 Responded Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani hapo ndipo wapinzani wa Tanzania wanapozidiwa. CCM wako scientific sana! Wanataka kuthibitisha hapo data zao na za INEC. Uchaguzi ni process na CCM inajiandaa. Huwezi kupuuza mchakato wa uandikishaji then utegemee ushindi bila data! Tuache kuibua taharuki. Mwisho wa siku uamuzi wa kura ni siri ya mtu ndani ya box🙏🙏🙏
Kura ni siri yako wewe mpiga kura hivyo haitakiwi kujua anayeandikishwa atampigia nani kura.
 
Mawakala wa vyama wanaruhusiwa kuwemo waweza hata rekodi ili mradi wasimwingilie tu mwandikishaji

CCM imehamasisha sana wanachama wake kujiandikisha na Mawakala wanakuweko vituoni kuhakiki kama wanachama wao wamejiandikisha

Chadema nyie endeleeni tu kutafuta pesa za kula viongozi wenu za tone tone
 
kadi za ccm zinaombwa na kurekodiwa kwa faida za kitakwimu au kutisha wananchi. Wacha tuone. Shughuli imeanza.
 
Yaani hapo ndipo wapinzani wa Tanzania wanapozidiwa. CCM wako scientific sana! Wanataka kuthibitisha hapo data zao na za INEC. Uchaguzi ni process na CCM inajiandaa. Huwezi kupuuza mchakato wa uandikishaji then utegemee ushindi bila data! Tuache kuibua taharuki. Mwisho wa siku uamuzi wa kura ni siri ya mtu ndani ya box🙏🙏🙏
Uko sahihii nilitaka kujibu hivi
 
Gentleman,
uoga wako ndio umaskini wako.
Na kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wa mtu binafsi.

Hisabati ya siasa ni sayansi kwa maneno na vitendo. Uelewa na ufahamu mdogo juu ya hilo imekua changamoto kwa wengi. Hata hivyo uchaguz mkuu wa Tanzania ni October mwaka huu 2025🐒
Nimegundua wapinzani wa Tanzania Kuna kitu Wana miss
Ama Kwa kujua au kutokujua
 
Uchaguzi ni hesabu na hesabu ni namba ,CCM ndio wanajipanga hivyo

Huko Mikoani wamekusanya sana hizo data
 
Uchaguzi ni hesabu na hesabu ni namba ,CCM ndio wanajipanga hivyo

Huko Mikoani wamekusanya sana hizo data
Upinzani wanasubiri uchaguzi ukifika ndio waanze tu kulia lia ooh tunataka mdahalo vyombo vya habari utakaoshirikisha wagombea ili.wananchi wajue nani yuko vizuri wamchague

Wajinga sana
 
Upinzani wanasubiri uchaguzi ukifika ndio waanze tu kulia lia ooh tunataka mdahalo vyombo vya habari utakaoshirikisha wagombea ili.wananchi wajue nani yuko vizuri wamchague

Wajinga sana
Hahahaha mfano Sasa hivi CCM wametoa KADI zao za kielectonic ,ili wakupe inabidi ujiandikishe ktk Daftali la kudumu la Wapiga KURA , wanakuorodhesha hii maana ake wakisema Wana wanachama wapya million 8 maaana ake hizo zipo Hadi ktk tume ..nimewaelewa
 
Hawa watu wako serious sana. Jana alikuja mjumbe nyumbani kwangu akataka nimpe taarifa zangu vikiwemo vitambulisho vyangu (Kura au NIDA)

Nilimuuliza, kwanini unataka taarifa zangu? Akajibu “Ni kwa ajili ya uboreshaji wa taarifa zako kwenye daftari la wapiga kura” Nikamwambia zoezi hilo linafanyika kituoni, nitaenda huko kurekebisha taarifa zangu.
Akaondoka, lakini alikuwa na taarifa za wakazi wengine pamoja na vitambulisho kadhaa.

Elimu zaidi inahitajika, viongozi wa vyama vya upinzani waamke katika usingizi mzito. Wananchi wengi wataingia kwenye huu mtego wa kuchukuliwa taarifa zao.

Binafsi nikienda kurekebisha taarifa zangu kituoni nikikutana na huo ujinga wa wakala wa CCM kuorodhesha majina nitaondoka na kuachana na zoezi zima.
CCM inajua inachokifanya nilihudhuria seminar Yao Moja Wilaya Fulani hivi aisee huu utaratibu wao nimeukubali...
Ukiwa na KADI Yao uwape namba za NEC
Km Hauna kadi Yao una NEC tu watakufuata km ulivyofuatwa , mwisho wa siku hesabu zinakaa sawa

Nasubiri uchaguzi niwe muangalizi wa kujitolea
 
CCM inajua inachokifanya nilihudhuria seminar Yao Moja Wilaya Fulani hivi aisee huu utaratibu wao nimeukubali...
Ukiwa na KADI Yao uwape namba za NEC
Km Hauna kadi Yao una NEC tu watakufuata km ulivyofuatwa , mwisho wa siku hesabu zinakaa sawa
Takwimu za wanachama za CCM zina rekodi zote mbili kadi ya uanachama na za kadi ya mpiga kura

Hivyo CCM wanajua wapiga kura wake wote wana CCM kwa majina na kadi zao zote nchi nzima

Ikiingia kwenye uchaguzi inajua kabisa ina wapiga kura wake wa ndio wangapi
Ndio maana CCM kuanzia Mwenyekiti taifa wanahamasisha sana watu kujiandikisha daftari la wapiga kura
 
Sijui kwanini vyama vingine vimeshindwa kuweka mawakala kwenye vituo. Tutawalaumu bure CCM kwa kutimiza wajibu kisheria. CHADEMA na vyam vingine vichangamke tuone hapo vituoni hali itakuwaje
 
Kura ni siri yako wewe mpiga kura hivyo haitakiwi kujua anayeandikishwa atampigia nani kura.
No! Watu wanajuana mitaani. CCM inachofanya ni kuhimiza wanachama wao wakajiandikishe na then ina verify kwa kufuatilia kama kweli wamekwenda kujiandikisha. Wanatumiwa hadi meseji za viongozi wao wakuu.

Nina rafiki yangu jana kanionyesha ujumbe wa simu kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ukimhamasisha akajiandikishe. CHADEMA ni No Reforms No Election huku Sugu anataka Ubunge, Mapunda Urais....haieleweki. Wapinzani mnatuangusha tunataka demokrasia komavu.🙏🙏🙏
 
Sijui kwanini vyama vingine vimeshindwa kuweka mawakala kwenye vituo. Tutawalaumu bure CCM kwa kutimiza wajibu kisheria. CHADEMA na vyam vingine vichangamke tuone hapo vituoni hali itakuwaje
Wafanye kwa nia njema. Ukweli wapinzani wa nchi hii hawko strategic. CCM hii wanailalamikia bure ila ukweli jamaa wanafanya mambo kisayansi, kwa uwazi na mchana kweupe. Wanaingia kwenye game wanajua wana wapigakura wangapi against idadi ya INEC, kwa hiyo wakiokota na za mashabiki saa 7 mchana wanavaa misuli na migololo ya kimasai. ...kwisha kazi.
 
Gentleman,
uoga wako ndio umaskini wako.
Na kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wa mtu binafsi.

Hisabati ya siasa ni sayansi kwa maneno na vitendo. Uelewa na ufahamu mdogo juu ya hilo imekua changamoto kwa wengi. Hata hivyo uchaguz mkuu wa Tanzania ni October mwaka huu 2025🐒
Uoga kivipi wakati mwongozo wa tume upo clear?
 
Mawakala wa vyama wanaruhusiwa kuwemo waweza hata rekodi ili mradi wasimwingilie tu mwandikishaji

CCM imehamasisha sana wanachama wake kujiandikisha na Mawakala wanakuweko vituoni kuhakiki kama wanachama wao wamejiandikisha

Chadema nyie endeleeni tu kutafuta pesa za kula viongozi wenu za tone tone
Angalia screenshot ya tume kwenye mambo ambayo wakala haruhusiwi kufanya halafu urudi tena hapa
 
Huo ujinga umefanyika karibu vituo vyote huko mbezi beach goba na mbezi mwisho
 
Hiyo ni kawaida hata vyama vya upinzania vilitakiwa kuwa na mawakala Kila kituo Cha kuboresha daftari. Ni kama ilivyo kuwa kwenye kujiandikisha kwenye orodha ya Wapiga kura, kulikuwa na mawakala japo upinzania haukuweka mawakala nchi nzima. CCM tupo sahihi.
 
CHADEMA walishapoteza imani na Tume kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sasa wanachokifanya ni Kupuuzia Zoezi zima ka Uandikishaji na Upigaji kura.

Inshort uchaguzi wa mwaka huu ni wa CCM na vyama vingine ramba ramba
 
Back
Top Bottom