PreGE2025 Responded Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
710
Reaction score
1,610
Wakuu,

Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni alikuwa nje, akamwambia huyo dada muandike na huyo kwenye daftari.

Huyo dada akauliza hilo daftari ni la nini, mwandikishaji akasema ni la wakala, akauliza wakala wa chama gani, akaambiwa CCM, akauliza kwanini wanaandikisha mwandikishaji wa Tume akasema sijui, mimi kaniambia wameambiwa waandike. Yule dada akamuuliza tena kwanini hujauliza kujua kama ni utaratibu? Dada hakuwa na majibu, akaambiwa aulize sababu wanacheza na taarifa za watu.

Wakati anamalizia kujaza taarifa zake huyo wakala wa CCM akarudi kwenye kiti chake, alipoulizwa akasema kuna awamu ya pili ambayo watakuja kuhakikisha majina. Dada akamuuliza unahakikisha majina kama nani wakati wewe siyo mfanyakazi wa Tume? Na kwanini uandikishe majina wakati kazi hii inafanywa na tume? Yule wakala akasema hapo sina majibu sisi ndiyo tulivyoambiwa kwenye chama, kama unataka maelezo zaidi inabidi ukaulize huko!

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hapo ikafanya nijiulize, kwanini huyu wakala anaandika haya majina? Wanaenda kuyafanyia nini? kwanini yaandikwe pembeni kwenye kidaftari. Kidaftari wanachoandikia ni hiko hapo nimekizungushia duara, kama mamlaka itataka jina la wakala naweza kuwapatia.

Baada ya yeye kusema ni wakala wa CCM ndio nikagundua wakala wa vyama vingine hawapo. Na ndio maana hii figisu inaendelea, sidhani kama kungekuwa na mawakala wa vyama vingine hili lingeendelea.

Nataka Tume ituambie huu ndio utaratibu kwamba Wakala anatakiwa kuchukua majina ya wanaojiandikisha na jinsia zao? Je, taarifa hizo zinachukuliwa kwa matumizi gani kama wafanyakazi watume wanarekodi majina hayo? Na mawakala wanatoa ushirikiano kutoa majina hayo, maana kaka huyo alikuwa nje wakati dada anaandikisha akamwambia mwandikishaji aandike hilo jina mwandikishaji akasema utakuja kulichukua huku (kwenye fomu), lakini anafanya hivyo bila kujua majina hayo yanaenda wapi!

Daftari CCM.jpg

1742535033173.png

Pia soma ~ Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

==================

Wadau wengine waliyokutana na hali kama hii;

IMG_20250323_092242_338.jpg

===

View attachment 3277637
Huku (Dar-Kinondoni) hilo daftari alikuwa anaandika mwandikishaji wa tume huyo dada mwenye uniform ya Tume! Basi atakuwa ni CCM
:BearLaugh:
:BearLaugh:
halafu wazee wa Tone Tone wanategemea kutoboa na hiyo kampeni yao ya kufikirika!
 
Wakuu,

Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni alikuwa nje, akamwambia huyo dada muandike na huyo kwenye daftari.

Huyo dada akauliza hilo daftari ni la nini, mwandikishaji akasema ni la wakala, akauliza wakala wa chama gani, akaambiwa CCM, akauliza kwanini wanaandikisha mwandikishaji wa Tume akasema sijui, mimi kaniambia wameambiwa waandike. Yule dada akamuuliza tena kwanini hujauliza kujua kama ni utaratibu? Dada hakuwa na majibu, akaambiwa aulize sababu wanacheza na taarifa za watu.

Wakati anamalizia kujaza taarifa zake huyo wakala wa CCM akarudi kwenye kiti chake, alipoulizwa akasema kuna awamu ya pili ambayo watakuja kuhakikisha majina. Dada akamuuliza unahakikisha majina kama nani wakati wewe siyo mfanyakazi wa Tume? Na kwanini uandikishe majina wakati kazi hii inafanywa na tume? Yule wakala akasema hapo sina majibu sisi ndiyo tulivyoambiwa kwenye chama, kama unataka maelezo zaidi inabidi ukaulize huko!

Hapo ikafanya nijiulize, kwanini huyu wakala anaandika haya majina? Wanaenda kuyafanyia nini? kwanini yaandikwe pembeni kwenye kidaftari. Kidaftari wanachoandikia ni hiko hapo nimekizungushia duara, kama mamlaka itataka jina la wakala naweza kuwapatia.

Baada ya yeye kusema ni wakala wa CCM ndio nikagundua wakala wa vyama vingine hawapo. Na ndio maana hii figisu inaendelea, sidhani kama kungekuwa na mawakala wa vyama vingine hili lingeendelea.

Nataka Tume ituambie huu ndio utaratibu kwamba Wakala anatakiwa kuchukua majina ya wanaojiandikisha na jinsia zao? Je, taarifa hizo zinachukuliwa kwa matumizi gani kama wafanyakazi watume wanarekodi majina hayo? Na mawakala wanatoa ushirikiano kutoa majina hayo, maana kaka huyo alikuwa nje wakati dada anaandikisha akamwambia mwandikishaji aandike hilo jina mwandikishaji akasema utakuja kulichukua huku (kwenye fomu), lakini anafanya hivyo bila kujua majina hayo yanaenda wapi!

Yaani hapo ndipo wapinzani wa Tanzania wanapozidiwa. CCM wako scientific sana! Wanataka kuthibitisha hapo data zao na za INEC. Uchaguzi ni process na CCM inajiandaa. Huwezi kupuuza mchakato wa uandikishaji then utegemee ushindi bila data! Tuache kuibua taharuki. Mwisho wa siku uamuzi wa kura ni siri ya mtu ndani ya box🙏🙏🙏
 
Kabisa Mkuu, wamekalia no reforms no election huku mambo yanazidi kuharibika!
 
Hawa wapinzani wa Tanzania hawajui uchaguzi ni data. CCM wanahamasisha wanachama wao wakajiandikishe wawe na data...jamaa kazi yao hasa Lissu na Heche ni kupiga misele tu.
 
Yaani hapo ndipo wapinzani wa Tanzania wanapozidiwa. CCM wako scientific sana! Wanataka kuthibitisha hapo data zao na za INEC. Uchaguzi ni process na CCM inajiandaa. Huwezi kupuuza mchakato wa uandikishaji then utegemee ushindi bila data! Tuache kuibua taharuki. Mwisho wa siku uamuzi wa kura ni siri ya mtu ndani ya box🙏🙏🙏
Data gani CCM wanaweza kuikosa wakiiomba NEC?
NEC wanazo data zote sasa hawa nguchiro wanamendea nini taarifa za watu?
 
Wakuu,

Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni alikuwa nje, akamwambia huyo dada muandike na huyo kwenye daftari.

Huyo dada akauliza hilo daftari ni la nini, mwandikishaji akasema ni la wakala, akauliza wakala wa chama gani, akaambiwa CCM, akauliza kwanini wanaandikisha mwandikishaji wa Tume akasema sijui, mimi kaniambia wameambiwa waandike. Yule dada akamuuliza tena kwanini hujauliza kujua kama ni utaratibu? Dada hakuwa na majibu, akaambiwa aulize sababu wanacheza na taarifa za watu.

Wakati anamalizia kujaza taarifa zake huyo wakala wa CCM akarudi kwenye kiti chake, alipoulizwa akasema kuna awamu ya pili ambayo watakuja kuhakikisha majina. Dada akamuuliza unahakikisha majina kama nani wakati wewe siyo mfanyakazi wa Tume? Na kwanini uandikishe majina wakati kazi hii inafanywa na tume? Yule wakala akasema hapo sina majibu sisi ndiyo tulivyoambiwa kwenye chama, kama unataka maelezo zaidi inabidi ukaulize huko!

Hapo ikafanya nijiulize, kwanini huyu wakala anaandika haya majina? Wanaenda kuyafanyia nini? kwanini yaandikwe pembeni kwenye kidaftari. Kidaftari wanachoandikia ni hiko hapo nimekizungushia duara, kama mamlaka itataka jina la wakala naweza kuwapatia.

Baada ya yeye kusema ni wakala wa CCM ndio nikagundua wakala wa vyama vingine hawapo. Na ndio maana hii figisu inaendelea, sidhani kama kungekuwa na mawakala wa vyama vingine hili lingeendelea.

Nataka Tume ituambie huu ndio utaratibu kwamba Wakala anatakiwa kuchukua majina ya wanaojiandikisha na jinsia zao? Je, taarifa hizo zinachukuliwa kwa matumizi gani kama wafanyakazi watume wanarekodi majina hayo? Na mawakala wanatoa ushirikiano kutoa majina hayo, maana kaka huyo alikuwa nje wakati dada anaandikisha akamwambia mwandikishaji aandike hilo jina mwandikishaji akasema utakuja kulichukua huku (kwenye fomu), lakini anafanya hivyo bila kujua majina hayo yanaenda wapi!

IMG_20250320_174814_996.jpg

Huku (Dar-Kinondoni) hilo daftari alikuwa anaandika mwandikishaji wa tume huyo dada mwenye uniform ya Tume! Basi atakuwa ni CCM :BearLaugh: :BearLaugh: halafu wazee wa Tone Tone wanategemea kutoboa na hiyo kampeni yao ya kufikirika!
 
Nchi nzima imefanyika hivyo, yaani CCM walikuwepo kwenye vituo wakiwaandika majina wanaoandikishwa na Tume. Inashangaza sana!
 
Kama tume ni huru wafanyakazi wasiotoka tume wanatafuta nini kwenye zoezi la tume huru? Tunahitaji jaji Mwambegele atufafanulie
 
Wakuu,

Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni alikuwa nje, akamwambia huyo dada muandike na huyo kwenye daftari.

Huyo dada akauliza hilo daftari ni la nini, mwandikishaji akasema ni la wakala, akauliza wakala wa chama gani, akaambiwa CCM, akauliza kwanini wanaandikisha mwandikishaji wa Tume akasema sijui, mimi kaniambia wameambiwa waandike. Yule dada akamuuliza tena kwanini hujauliza kujua kama ni utaratibu? Dada hakuwa na majibu, akaambiwa aulize sababu wanacheza na taarifa za watu.

Wakati anamalizia kujaza taarifa zake huyo wakala wa CCM akarudi kwenye kiti chake, alipoulizwa akasema kuna awamu ya pili ambayo watakuja kuhakikisha majina. Dada akamuuliza unahakikisha majina kama nani wakati wewe siyo mfanyakazi wa Tume? Na kwanini uandikishe majina wakati kazi hii inafanywa na tume? Yule wakala akasema hapo sina majibu sisi ndiyo tulivyoambiwa kwenye chama, kama unataka maelezo zaidi inabidi ukaulize huko!

Hapo ikafanya nijiulize, kwanini huyu wakala anaandika haya majina? Wanaenda kuyafanyia nini? kwanini yaandikwe pembeni kwenye kidaftari. Kidaftari wanachoandikia ni hiko hapo nimekizungushia duara, kama mamlaka itataka jina la wakala naweza kuwapatia.

Baada ya yeye kusema ni wakala wa CCM ndio nikagundua wakala wa vyama vingine hawapo. Na ndio maana hii figisu inaendelea, sidhani kama kungekuwa na mawakala wa vyama vingine hili lingeendelea.

Nataka Tume ituambie huu ndio utaratibu kwamba Wakala anatakiwa kuchukua majina ya wanaojiandikisha na jinsia zao? Je, taarifa hizo zinachukuliwa kwa matumizi gani kama wafanyakazi watume wanarekodi majina hayo? Na mawakala wanatoa ushirikiano kutoa majina hayo, maana kaka huyo alikuwa nje wakati dada anaandikisha akamwambia mwandikishaji aandike hilo jina mwandikishaji akasema utakuja kulichukua huku (kwenye fomu), lakini anafanya hivyo bila kujua majina hayo yanaenda wapim
1000027030.jpg

Mlishaambiwa no reforms no elections halafu mnajifanya kiherehere kujiandikisha....ukichaa ni kufanya jambo lile lile tena na tena na kutarajia matokeo tofauti
 
Kabisa Mkuu, wamekalia no reforms no election huku mambo yanazidi kuharibika!
Kama huwa mnajiandaa hivi huwa mnaingza kura fake zanini sasa, kwann huwa mnaengua wapnzani mnapta bila kupngwa ikiwa mnajiandaa kuliko wapnzan na hapo bdo watu wa nec wote ni makada wenu still hamjiamini kbs.
 
Kabisa Mkuu, wamekalia no reforms no election huku mambo yanazidi kuharibika!
Wekeni uchaguzi huru muone kitakachotokea na hizo data zenu za kuandika majina ya watu kwenye vitote book, wewe mtu sio afisa wa tume unachukua majina ya nini kama sio uhuni eti uchaguzi ni data.Kwahiyo ulitaka vyama vingine na vyenyewe vije kushiriki huo ujinga wa kuja na vidaftari pembeni,hiyo ni tume au upuuzi.
 
Wakuu,

Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni alikuwa nje, akamwambia huyo dada muandike na huyo kwenye daftari.

Huyo dada akauliza hilo daftari ni la nini, mwandikishaji akasema ni la wakala, akauliza wakala wa chama gani, akaambiwa CCM, akauliza kwanini wanaandikisha mwandikishaji wa Tume akasema sijui, mimi kaniambia wameambiwa waandike. Yule dada akamuuliza tena kwanini hujauliza kujua kama ni utaratibu? Dada hakuwa na majibu, akaambiwa aulize sababu wanacheza na taarifa za watu.

Wakati anamalizia kujaza taarifa zake huyo wakala wa CCM akarudi kwenye kiti chake, alipoulizwa akasema kuna awamu ya pili ambayo watakuja kuhakikisha majina. Dada akamuuliza unahakikisha majina kama nani wakati wewe siyo mfanyakazi wa Tume? Na kwanini uandikishe majina wakati kazi hii inafanywa na tume? Yule wakala akasema hapo sina majibu sisi ndiyo tulivyoambiwa kwenye chama, kama unataka maelezo zaidi inabidi ukaulize huko!

Hapo ikafanya nijiulize, kwanini huyu wakala anaandika haya majina? Wanaenda kuyafanyia nini? kwanini yaandikwe pembeni kwenye kidaftari. Kidaftari wanachoandikia ni hiko hapo nimekizungushia duara, kama mamlaka itataka jina la wakala naweza kuwapatia.

Baada ya yeye kusema ni wakala wa CCM ndio nikagundua wakala wa vyama vingine hawapo. Na ndio maana hii figisu inaendelea, sidhani kama kungekuwa na mawakala wa vyama vingine hili lingeendelea.

Nataka Tume ituambie huu ndio utaratibu kwamba Wakala anatakiwa kuchukua majina ya wanaojiandikisha na jinsia zao? Je, taarifa hizo zinachukuliwa kwa matumizi gani kama wafanyakazi watume wanarekodi majina hayo? Na mawakala wanatoa ushirikiano kutoa majina hayo, maana kaka huyo alikuwa nje wakati dada anaandikisha akamwambia mwandikishaji aandike hilo jina mwandikishaji akasema utakuja kulichukua huku (kwenye fomu), lakini anafanya hivyo bila kujua majina hayo yanaenda wapi!

No REFORM NO ELECTION
 
Back
Top Bottom