Wakaka wa JF...

mnh nitake radhi tafadhali...yaani unaniona mimi power mabula lols


kumbe unamkumbuka eeh>?

Mi I dont buy the idea kwamba wewe sio Pauline bana....umeona PM yangu?
 
Ila wajamen mwindaji mimi, pozi la First Lady linanikosha sana! kila nikiiangalia Avatar yake nakuwa hoi!
 
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.
ahahahahaaah!
 
Tunapenda kuvuta attention za men lakini wengi hatujajiunga kwa ajili hiyo.
Tuache mambo mengine yatokee bila kulazimisha.
Nawapenda wakaka wa jf sio wasumbufu.
 
Tunapenda kuvuta attention za men lakini wengi hatujajiunga kwa ajili hiyo.
Tuache mambo mengine yatokee bila kulazimisha.
Nawapenda wakaka wa jf sio wasumbufu.

ASante kwa kutupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…