ebwana dah we sista nimekukubali ile ki noma yaani
umechana live bila chenga
kama vipi nini mdogo wako niko kwa hapa too much single and lonely ki vile
sasa kama vipi nini mi nakuendea juu kwa juu
hahahaha!KM KDG MWENZANGU?
nambie bas wap leo?
Tutumieni PM...jamani....
yaani hamna kitu mwanamke anafurahi kama kusemeshwa na mwanaume njiani!...ndio maana tunavaa vizuri,vimini nk hii yote ni kuhakikisha tunakuwa 'NOTICED' na wakaka!!
Kwa kweli mkaka akikusemesha unajihisi sexy,wanted and complete kama mwanamke!...inatuongezea makonfidensi hadi rahaa!...
For the same reasons hapa JF tunatafuta avatar nzuuuri...kupata attention yenu!angalia avatar nyingi za wanawake ni zile za kuvutia!!
.....kumwambia mtu tu kny forum, avatar yake ni nzuri ,inatosha kumfanya ajihisi furaha ya kuwa amekuwa noticed ila ingependeza kama ungemtumia PM!!!!...this shows umekuwa really impressed,,,na hivyo kumfanya huyo dada ajihisi spesho zaidi...lols!
Kwa hio wakaka tutumieni PM please...najua mtaniuliza kwa nini tusianze sie kutuma lakini huu si utamaduni wa mwafrica!...ni shurti mwanaume akuanze atiii...kwanza tuna haya za kike....!LOLS
wadada ole wenu mniruke hapa kuwa hamtaki PM...hahaahahahaah
*note-sio lazima kila PM ilead mahusiano!!!
:rofl::rofl::target:
hahahaha!
we ciku ile nimekupigia simu nilitaka twende zao ARUSHA ili st rr ajinyonge UKANITOSA
ha ha ha!Apana mpz ile siku was tyt acha ndo narud safarin nkaenda geto fasta nichange nguo ile kufika manyanya babu ehh folen imeanzia kwa mwanamboka kuelekea moroco ehhh nikaona apa tgt ntafika saa 8 usiku basi nikampa salamu bgrta akwambie..
bt m ready for any pnshmet for ma delay bt insde me nia ya kuja ilikwepo its just miundo mbinu ya mkwere ilizngua
pls nielewe sweeeetie t wasnt me beiiiib....
umensamehe?
i ges yes
sorrr nyngne zaid za vtendo ntaztoa tukionana..GHARAMA ZOTE JUU YANGU..
NI KWELI KABSA NAUNGANA NAWEWE
nina mashaka na JINSIA YA MTUMA POST.
mnh endeleeni kuwa na wasiwasi na jinsia yangu...
ila rose hio avatar yako inakubaliana sana na topic yangu...
umeichagua kwa nini embu tupe majibu yako,kama sio kutaka ku flirt na wakaka wa JF??
...yaani utakataa kabisaa hukutaka kudraw attention na huo mkonyezo??...haya bwana....:embarrassed:
HAPPY NEW YEAR DEAR JF Members
- Jahmercy
- Diana-DaboDiff
- nyangau
- Uwiano Maalum
- Mabel
- Lizzy
- Rose1980
- It is Sur_Plus
- PingPong
- katelero
- Long'ututi
- Hamuyu
- Lussadam
- pianist
- YanguHaki
- Nyamgluu
- Mamushka
- tzjamani
- Kidogo chetu
- Avanti
- hmethod
- sadique
- Elia
- Dr. Sakis One
- Mr. Miela
- idea
- bacha
- Atoti
- Ambassador
- BLUE BALAA
- Dmp
- kakuruvi
- The Finest
- chichiem
- Zlatanmasoud
- Tuandamane
- deri
- Gwaje
- semmy samson
- Kicheruka
- UTC
- LD
- Mlabondo
- Baba Mkubwa
- FirstLady
- BABA JUNJO
- Eng. Smasher
- laussane
- mkenda1000
- Shedafa
- tracy
- MwanajamiiOne
- Mallaba
- mpalu
- Kashaija
mnh endeleeni kuwa na wasiwasi na jinsia yangu...
ila rose hio avatar yako inakubaliana sana na topic yangu...
umeichagua kwa nini embu tupe majibu yako,kama sio kutaka ku flirt na wakaka wa JF??
...yaani utakataa kabisaa hukutaka kudraw attention na huo mkonyezo??...haya bwana....:embarrassed:
thax bebi
hw z awa new beb boy?
stil on track?
wth full respect?
vp utakuja jj?unipe umbea kdg.....missng u mamito!!!!!
Tatizo haliko kwetu,tunapenda sana kuwatumia PM na hata kuwasemesha,ila tunachohofia ni ukali wenu,mkituahidi kupunguza ukali basi mambo yatakuwa mswano na nitaanza na wewe.
mnh endeleeni kuwa na wasiwasi na jinsia yangu...
ila rose hio avatar yako inakubaliana sana na topic yangu...
umeichagua kwa nini embu tupe majibu yako,kama sio kutaka ku flirt na wakaka wa JF??
...yaani utakataa kabisaa hukutaka kudraw attention na huo mkonyezo??...haya bwana....:embarrassed:
Pauline hebu ni PM kama umevutiwa na avatar yangu maana tofauti yake na mimi halisi ni ndogo saaana
Pauline hebu ni PM kama umevutiwa na avatar yangu maana tofauti yake na mimi halisi ni ndogo saaana