Wakaka wa arachuga

Wakaka wa arachuga

Watoto wa Arusha siku hizi sio wa kuamini sana. Kuna yule mwenzao kaolewa ujerumani huko.

Dogo janja anapiga wanja , make up na nguo za kike, kabakiza kupakatwa tu!

Chuga wabishi wanapungua sana siku hizi.

- KANA -
 
Back
Top Bottom