Wakaka: Ukiona nyani mjini ujue kaletwa

Wakaka: Ukiona nyani mjini ujue kaletwa

Kila msichana umuonae anapendeza mji huu jua kuna mtu anagharamia, sasa wewe jipeleke tu siku mwenyewe akirudi utaishia umia bure
kweli mkuu! unaona mwamamke amenoga.anakuchekea unaona umeua tembo kwa ubua kumbe kuna mwenza
 
Hamna mwanamke wa peke yako bongo hata umpe kitu gani lazima atachepuka tuu yani sijibkuchepeuka kuna ladha gani yanii??????
Hawa ndugu ni sheedah.kadri unavyotatua matatizo yake ndio asivyoridhika!
 
Ila na sisi huwa tunawapanga mkuu. Maana hiyo tallying ni me wamefanya kazi ke hawawezi kujifanya.
Hahahaa[emoji2] [emoji1] [emoji12] .sisi ndio customer.
 
Mbona mzembe[emoji780] ....tuachie mzigo sisi[emoji12] [emoji12] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom