Mkuu achaa tuu mimi sijamuoa bado lakini naona kabisaa hizo isharaa...!! Ana kiwanja nikawaza akiuze tufanye maarifa lakini baada ya kuwa na mambo ya kukumbushia pesa alizowahi toa na pengine kusema nimrudishie lakini baada ya muda ananiomba msamaha ni mara kibao tu.. Nimejifunza yani huwaga siulizii tema kuhusu mali zake wala pesa kama sina bora nikope aisee...
Mimi atapata ndoa..ila ajue mapema hayupo mwenyewe. So achague kuwa na chawa au mitalaAhahahahaa isije ikawa wewe ndo baba chawa..!!
Ahahahaaa... jua tu kwamba hakuna mwanamke anayependa mitala... mazingira ndo huwalazimishaMimi atapata ndoa..ila ajue mapema hayupo mwenyewe. So achague kuwa na chawa au mitala
Naona wanaume wote wamecomment kukushambulia....
Usiwashangae hata tukitoka kunywa bia kwenye malipo wengi hujifanya wamebanwa na haja wanakuja tukiwa tumeshalipa.
Vijana wanapenda vitu vya bure saana sijui shida nini.
Umebana kwa wote.Shidah uchumi ushabana
Chawa aoNaona wanaume wote wamecomment kukushambulia....
Usiwashangae hata tukitoka kunywa bia kwenye malipo wengi hujifanya wamebanwa na haja wanakuja tukiwa tumeshalipa.
Vijana wanapenda vitu vya bure saana sijui shida nini.
Ulivojisikia, ndo sisi wanaume tunavojisikia pale ninyi wanawake mnavotuomba hela baada ya kuwatongoza Meridah Tough
Noma sana tatizo wanawake huwaga mkimsaidia mtu Mnawekaa sana moyonii yani kinawaumaa balaa hata kama Ni mumeoo...!! Kama jamaa aliona pesa unazo kwa kuwa ulijionesha sasa why asikushauri mambo mazuriiJapo hapo kuna mwisho mbayaa wa vilioo na kusaga menoo
Kwa nn unajitatiza na mahusiano as if huwezi ishi bila mpenzi!
Mi sioni funzo ila naona unahitaji muongozo juu ya wakaka
Mahusiano bora yenye malengo yanajileta hayatafutwi hivyo ndio maana huwa tunasisitiza urafiki kabla ya mapenz
Urafiki ni kufahamiana kabla ya kutongoZana
Kujua maisha yake na uwezo wake wa kufikir lkn kwa bahati mbaya wadada mnafikir baada ya mkaka kutoa msimamo
Na ni uhalisia mwanaume ndiyo anayeongoza ndoto za wawili hivyo mdada ukiamua kutoa ndoto kumbuka unataka kumiliki hilo pendo ambalo kwa asili linamilikiwa na mwanaume na ukiamua kulimiliki lazima likushinde au uamue kuuza ndoto kwake azielewe aziishi kisha amue kuzitekeleza ikiwa yeye ndiyo masterplan
Mwanamke ni mtawala na mwanaume ni mmiliki hivyo ukimpa mtawala majukumu ya umiliki tambua hapo hakuna mahusiano isipokuwa maonyesho au biashara
Mtawala au CEO hawezi kuwa mwerevu kuzidi mwenyekiti wa kampuni yaan CS awe bosi wa Magu ni uongo huo
Mwanamke kuwa financial katika mahusiano hilo ni kosa kwani mtaji wa kampuni ni wa mmiliki isipokuwa pale mmiliki anapoamua kugawa hisa kwa CEO au CEO anapogundua kampuni is worth anaweza kufinance baadhi ya miradi ali apate approval ya mmiliki na kujihakikishia ajira ili asitumbuliwe
Mdada lazma ujue kwa nn huyo unayetaka kuanza naye mahusiano hana mpenzi pia kwa nn anataka kuwa na wewe
Tatizo lawadada ni kupenda kuutoa mwili mapema kwa wanaume ili kuwaaminisha wanawapenda
Nakiri mm binafs Mdada mmoja niliwahi kumtongoza muda sana nikamwambia nataka nikuo kwa kuwa mke wangu alifariki na yeye ni single mother with 1.yeye umri wakati ule alikuwa 24 na biashara yake nzuri lkn hakuwa ameota kuolewa pia ndoto ya kuhama mkoa kuja Dar kwake haioni hivyo mapenz kwangu yalikuwa 50% mwanzon na mm kule niko kikaz hivyo tulidate muda without sex kwa kauli " nakuta christina katka uwote wako na si *chi wako hivyo siku ukiwa tayar nitakupokea" nilimpenda pia nikawapenda ndugu na rafiki bila kusahau mwanaye ambaye alinipenda pia vilevile tunatembeleana nyumban lkn baadaya miez six without sex mdada alionekana kukolea na bahat mbaya nikawa nimepata transfer kuja dar so tukiwa na kipat kidogo cha kuagana usiku huo alilazimisha tulale wote licha ya kumkatalia alizid kulalamika ingawa nilimfikisha getin kwake lkn hakuingia ndani ndipo baada ya muda nikamwambia home mazingira hayako sawa kwa kuwa mizigo imefungwa basi akatak hotel tukaenda akitaka kudo but jibu ni no mpaka asubuhi mm nikasafir ingawa alinielewa
Mapenz hayakudumu kwa kuwa haoti ndoto sawa na mm hivyo tulidate one year
Mfano wa pili
Wapo wadada wenye fedha lkn hawana ndoto hivyo akipata mkaka mwenye ndoto humuona kama mwizi kwan atafaidika kisha atamuacha ikiwa yeye ametumika kama daraja
Binafsi niliwahi kuwa na mahusiano na mdada wa namna hiyo wakati sina ajira yeye akiwa nayo pamoja na assets ambazo ni za familia lkn ziko mikononi mwake
Tukafanye naye mengi tukaboresha mazingira yake nikiwa sinalengo la kujinufaisha ila alikuwa aniamin kwa kuwa aliwahi kuwa na MTU ambaye alipelekea kutaka kufilisika hivyo n muoga nami nikawa mguu ndan mwingine nje
Pesa yangu ilitumika kwake kuboresha assets zake nikilenga aniamin pia familia iliniamin na kushirikiana kwenye matukio ya kijamii ya kifamilia kama mtendaji mkuu lkn back mwenzang hakuniamin hats nilipomuambia tuzae hakuona dili bahati nzuri nikapata scholarship nje mapenz yakafa japo mpaka Leo tunawasiliana kwa kuwa hatukugombana Bali tulichengana iman na so upendo na hajaolewa mpaka Leo ni miaka 13
Mafunzo kwetu site
So kila tuliyenaye anastahili kuoa au kuolewa kwan unaweza kumlazimisha akakubali halafu akageuka mwiba au akakataa ukaamua kumchukia hapana lazma uelewe interest yake kuliko kulazimisha tu lengo lako
Mapenzi au mahusiano ni starehe na pia while hivyo kila uliyenaye jifunze kitu kikusaidie kuishi au kuchgua wengine vizur
Ndoa au future ya mahusiano inakuja automatically wala hailazimishwi wala haipangwi ndiyo maana wengi wakitangaza kuoa au kuolewa wanakushangaa 'yaani yule wala hawaendani au ulimpendea nn" halafu cha ajabu ndoa hizo hudumu kuliko za wanaoendana ambao wameoa unene au uwembamba au uzur pengine shape au kazi au fedha ( ndoa au Destiny is not human plan bear to God)
Make wangu Mimi alikuwa msaidizi wangu kazin alafu kilichonivhta kwake ni juhudi na uvumilivu pamoja na usiri,
Je wangapi tunatafuta mambo madogo ktk mafanikikio ya mahusiano yetu?
Mwenye bandiko tafadhali usiishi kwa hisia Bali akili hivyo mpigie simu mkutane sehemu ya faragha na umuulize madukuduku yako na sisitiza majibu tena seriously talk KISHA utaona is it worth or nothing ( muelezane ukwel na kwa akili yako baini ukweli kwenye maneno yake)
Tuendelee
Aiseee sure kabisaa mwanangu Rikiboy mzee wa uzi pendwa japo ya huyu dada iko tofauti lakin akina dada wengi akikusaidia kitu ataongea kana kwamba hastahili kukusaidia ila ww ndo wa kumsaidia kila siku kuna bint mmoja niliwahi fahamiana nae kwenye daladala basi mara nyingi tukawa tunarud wote mitaa ya home tukitokea makazin jion japo tunafanya kaz sehem tofaut bas tukawa tunakutana kituo flan tunapanda gar kurud home wote mara zote hizo mm nkawa nalipa nauli tu na sikuzingine daladala zikizingua nachukua bajaji nalipa sasa kuna siku moja niko busy na simu konda anataka chake nkamwambia dada lipa nauli ya watu wawili duuuhh akalipa ila aliongea safar nzima et oooohhh siamin yaan leo nimemlipia nauli mwanaumeeeee!!! Keshasahau mm nimemlipia mara kibao tena sikuzingine daladala hakuna nachukua bajaji nalipa nauli kubwa zaid hawa viumbe banaaaaNoma sana tatizo wanawake huwaga mkimsaidia mtu Mnawekaa sana moyonii yani kinawaumaa balaa hata kama Ni mumeoo...!! Kama jamaa aliona pesa unazo kwa kuwa ulijionesha sasa why asikushauri mambo mazuriiJapo hapo kuna mwisho mbayaa wa vilioo na kusaga menoo