Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Asante Sana mkuu nimekuelewa kumbe pesa ndio jibu la mambo yote.ukiwa na watoto wako watatu na una uwezo unawasomesha shule nzuri hakuna haja ya kuanza kuoa na kuishi na mtu ujifie mapema
Unatakiwa uwe na pesa ana nguvu za kiume pesa bila nguvu za kiume ni hatar
 
Back
Top Bottom