Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Mimi nilishapanga nikitaka kuoa namwambia bibi anitafutie mke uko kijijini ikibidi najenga uko kijijini nakuwa namuacha nakuja mjini kupiga kishe zangu kule naenda kuangalia familia

tena mademu wa kijijini ndio wanaohusika kumlisha mume sasa nikioa uko nanikawa napiga mishe mjini miaka mitano tu ntakuwa bilionea maisha mipango bana na huu ñdio mpango mzima
 
Kuogopa kuoa ni woga wa kijinga, tunachokosea vijana wengi ni kukurupukia ndoa hapo lazima uone cha mtema kuni.
Nawashauri vijana wenzangu ni bora kutuliza akili na kutafuta mtu sahihi na sio kukimbilia kuoa/kuolewa nawe uonekane upo kundini...
 
Mi nafikir tuanze kuwaoa kwa masharti magumu sana, hakuna kuwaruhusu kumiliki simu na tuwarudishe mfumo wa bording school tena zile za seminary, akitaka kuongea na ndg zake asubir jioni ukirudi atumie simu yako.

Njia hii huenda tutawadhibiti, maake simu inaonekana kuwa chanzo cha uovu wao.
 
Asante Sana mkuu nimekuelewa kumbe pesa ndio jibu la mambo yote.ukiwa na watoto wako watatu na una uwezo unawasomesha shule nzuri hakuna haja ya kuanza kuoa na kuishi na mtu ujifie mapema
Biblia inasema "fedha ni mlinzi, fedha ni jawabu la mambo yote"

mimi nawashauri vijana wenzangu, tutafute kazi, tufanye kazi kwa bidii, tutengeneze maisha standard ambayo yatatufanya tuishi kwa amani na fraha bila kuishi wala kuwategemea hawa viumbe (wanawake).

Vijana wengi tumeshindwa kufikia malengo yetu kwa wakati kwa sababu ya kukaa kuwahudumia hawa viumbe, hata kile kidogo ambacho umedhamiria kikubadilishie maisha yako wenyewe hukitaka bila kujali kesho yako itakuwaje hapa duniani. Na baada ya hapo hutukimbia na matusi juu kuwa mwanaume pesa, coz they believe akimalizana na wewe ataenda kwa mwingine na atahudumiwa vizur tu.

NB: kama tunataka kuingia kwenye ndoa na kuishi vizuri tujenge uchumi wetu kwanza ili basi tuweze kuwatimizia haja zao bila shida yoyote ile. La sivyo tutaambulia matusi, kejeli, dharau, kususwa. Kitu kingine vijana wenzangu tukubali kuwa flexible matatizo yanapojitokeza baina yetu na wao kwenye ndoa tuki solve then hayo hayo yanajirudia tusiwe wagumu kuwaacha waende.
 
Chama pia kijadili namna tunavyokosa wanawake wa kuoa. Maana kila sehemu ukigusa ni either kaolewa au ni singo mama
Haswaa tena singo mama wamejaa kila kona, shangazi zangu karibia wote wameolewa wakiwa singo mama, na kila ninayempenda mimi unakuta ni singo mama mpaka huwa nasema au tayar shetani anatutafuna ukoo mzima.
 
Mi nafikir tuanze kuwaoa kwa masharti magumu sana, hakuna kuwaruhusu kumiliki simu na tuwarudishe mfumo wa bording school tena zile za seminary, akitaka kuongea na ndg zake asubir jioni ukirudi atumie simu yako.

Njia hii huenda tutawadhibiti, maake simu inaonekana kuwa chanzo cha uovu wao.
Hahahaha dah umenichekesha Sana mpaka watu wamenishangaa hapa ofisini.
 
Mkimaliza kukubaliana , mtatuambia mmeamua nini..

Enyi wanaume wa jf naona hizi ndo best solution;

1) Tafta pesa, lyk kuwa na nyumba mbili, ili mkeo akikufanyia vitimbi usivoweza vumilia unaenda kwenye nyumba ingine unamwacha mwenyewe. Njia bora na sahihi zaidi omba Mungu (kuwa mlokole) akupatie mke mwema.

2) Sign pre-nup kabla hujaoa ili mkeo asiondoke na half of your money/assets pale mnapoachana.

3)Oa mwanamke unaehisi anakupenda sana, though she may not be that cute, but hatakuletea headache kubwa kwenye ndoa

4)Usiwe na expectations kubwa pale unapooa mwanamke.

5)Mchukulie mkeo kama kabati, au meza, (usiwe attached nae emotionally) though simaanishi um-treat vibaya, m-treat mkeo vizuri, namaanisha kuwa akiku-cheat sawa asipoku-cheat sawa, akikuacha sawa, asipokuacha sawa, don't give a f*ck about her, maudhi yake yakikuzidi go back to point number one, hama nyumba umwache mwenyewe, asipojirekebisha mpe pesa kiasi unachoweza hlf umfukuzilie mbali kutoka kwenye nyumba yako, watoto Walee mwenyewe kwa upendo mkubwa kwa msaada wa house girl mwenye roho nzuri, usiwaletee hao watoto mama wa kambo, ur second house utaitumia kuingizia michepuko yako mingine, as long as unajilinda na ukimwi. ndege JOHN cute b Zainabu002
 
Haswaa tena singo mama wamejaa kila kona, shangazi zangu karibia wote wameolewa wakiwa singo mama, na kila ninayempenda mimi unakuta ni singo mama mpaka huwa nasema au tayar shetani anatutafuna ukoo mzima.
Ni shida sana
 
Enyi wanaume wa jf naona hizi ndo best solution;

1) Tafta pesa, lyk kuwa na nyumba mbili, ili mkeo akikufanyia vitimbi usivoweza vumilia unaenda kwenye nyumba ingine unamwacha mwenyewe. Njia bora na sahihi zaidi omba Mungu (kuwa mlokole) akupatie mke mwema.

2) Sign pre-nup kabla hujaoa ili mkeo asiondoke na half of your money/assets pale mnapoachana.

3)Oa mwanamke unaehisi anakupenda sana, though she may not be that cute, but hatakuletea headache kubwa kwenye ndoa

4)Usiwe na expectations kubwa pale unapooa mwanamke.

5)Mchukulie mkeo kama kabati, au meza, (usiwe attached nae emotionally) though simaanishi um-treat vibaya, m-treat mkeo vizuri, namaanisha kuwa akiku-cheat sawa asipoku-cheat sawa, akikuacha sawa, asipokuacha sawa, don't give a f*ck about her, maudhi yake yakikuzidi go back to point number one, hama nyumba umwache mwenyewe, asipojirekebisha mpe pesa kiasi unachoweza hlf umfukuzilie mbali kutoka kwenye nyumba yako, watoto Walee mwenyewe kwa upendo mkubwa kwa msaada wa house girl mwenye roho nzuri, usiwaletee hao watoto mama wa kambo, ur second house utaitumia kuingizia michepuko yako mingine, as long as unajilinda na ukimwi. ndege JOHN cute b Zainabu002
Bado nasubiri makubaliano Mr okoyoko
Haya ni mawazo/ ushauri wako kwa wenzako.
Hivyo mkishakubaliana mtatujuza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Biblia inasema "fedha ni mlinzi, fedha ni jawabu la mambo yote"

mimi nawashauri vijana wenzangu, tutafute kazi, tufanye kazi kwa bidii, tutengeneze maisha standard ambayo yatatufanya tuishi kwa amani na fraha bila kuishi wala kuwategemea hawa viumbe (wanawake).

Vijana wengi tumeshindwa kufikia malengo yetu kwa wakati kwa sababu ya kukaa kuwahudumia hawa viumbe, hata kile kidogo ambacho umedhamiria kikubadilishie maisha yako wenyewe hukitaka bila kujali kesho yako itakuwaje hapa duniani. Na baada ya hapo hutukimbia na matusi juu kuwa mwanaume pesa, coz they believe akimalizana na wewe ataenda kwa mwingine na atahudumiwa vizur tu.

NB: kama tunataka kuingia kwenye ndoa na kuishi vizuri tujenge uchumi wetu kwanza ili basi tuweze kuwatimizia haja zao bila shida yoyote ile. La sivyo tutaambulia matusi, kejeli, dharau, kususwa. Kitu kingine vijana wenzangu tukubali kuwa flexible matatizo yanapojitokeza baina yetu na wao kwenye ndoa tuki solve then hayo hayo yanajirudia tusiwe wagumu kuwaacha waende.
Mkuu hapa nilipo nimepanga kwa tajiri sana ana ya kutosha kutumia miaka 50+ ijayo bila shida, lakin mke anapigwa kama kawa na ugomvi ndani hauishi tena kibaya zaidi anahonga kwa pesa za mumewe, h
Mimi nilishapanga nikitaka kuoa namwambia bibi anitafutie mke uko kijijini ikibidi najenga uko kijijini nakuwa namuacha nakuja mjini kupiga kishe zangu kule naenda kuangalia familia

tena mademu wa kijijini ndio wanaohusika kumlisha mume sasa nikioa uko nanikawa napiga mishe mjini miaka mitano tu ntakuwa bilionea maisha mipango bana na huu ñdio mpango mzima
Mkuu hujui uzuri wa joto la mke, kaa kimya kwanza.
 
makubaliano ya hiki kijiwe ni kutafuta hela tu. na kuwa na familia ya watoto kazaa bila kuoa..

wazo hili ni la mwenyekiti ruge mutahaba..

hawa viumbe ukiwa na pesa huwa hawakatai.. hata kama wanajua wewe ni mtu wa kuzalisha tu sio muoaji..

blaza ruge hadi leo akitongoza totoz zinakubali...

ila hata ukiwa na ugentleman, una heshima ila pesa huna.. bado watakudharau tu..

wajanja wameshawajua.. so ni kusaka mahela tu na kuzaa nao tu...

ndoa ni stress tu kwa zama hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom