Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Wakaka ambao bado hatujaoa njooni tukubaliane kitu

Jifarijini tu mmalize sabuni madukani,tena sisi tuwe wauza maduka,ukija unataka kipande tukupa mche.
Ukitaka maziwa sio lazima ufuge ng'ombe!

If you know what i mean!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mimi nitaoa kwa ajili ya kufuliwa na kupikiwa tambi tu. Akiamua kugawa agaweee mi sina neno, kikubwa afue na nikitaka tambi apike.

ha ha we jamaa daaah ..aliwe huko we hayakuhusu...kwamba kila mtu anaoa kwa malengo yake
 
Binafsi siwezi kuacha kuoa kisa kuna njemba inagongewa....
Dhumuni la kuja ulimwenguni ni kuijaza dunia sasa usipooa si mabalaa...

Ambao hamtaki kuoa nawashauri oaneni wenyewe....

Genesis 1:27-28: “So God created man in his own image, in the image of God he created him; male and female he created them. And God blessed them. And God said to them, 'Be fruitful and multiply and fill the earth and subdue it and have dominion over the fish of the sea and over the birds of the heavens and over every living thing that moves on the earth.' "


kwani kuijaza dunia mpaka uoe ...dunia inajazwa kwa kuzaliana .....unaweza ukoa na usitoe mchango wowote kwenye kuijaza dunia
 
Ahaaa sawa sawa nimekupata mkuu
Wazee wa kununua mitaa yenu ya kujidai
Ni mwendo wa kua single dady tu mpaka uzeeni.

wanawake mna mitego, wanaume tuna mbinu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom