Anyway,na kwa faida ya wengine pia.vigezo,uwe na uzoefu wa miaka mitano kazini kuendelea,uwe na credit 2 kuendelea ktk cheti chako cha form 4.kwa waombaji wapya milango iko wazi kuanzia last week.pia wenye degree na diploma wapo wanasomea hii koz hata masters mnakaribishwa.nb:maombi yako yapitie kwa viongozi wako bila kufanya hivo nafasi haitakuwepo.Karibuni